Spiritual Seeker
Member
- Mar 31, 2017
- 23
- 38
Ufahamu ni kuwa "aware". Awareness ina involves the observer,observed na njia ya kufanya observation to be made. Kwa maana nyingine kutokea kwa ufahamu ni pale anapokuwepo mtazamaji, anaye tazamwa na njia ya kutazamia.refer milango ya ufahamu.
Vipo vituo vingi sana vya ufahamu,hii ni kama mfano wa vyumba vilivyotenganishwa na ukuta, kwamba ukiwa kwenye chumba kimoja haimaanishi kuwa vyumba vingine havipo.
Hivyo basi tunao uwezo wa ku-access other state of consciousness. Ila huwa inakuwa vigumu ni kwasababu ya"utu/indivuality" utu wetu unategemea mazigira na mazingira yanatutegemea sisi, mfano kula, kunywa na hata kuvuta hewa tunategemea mazingira, so kwa maana hiyo ni vigumu kusema "we are completely independent".
Tuitazame hii kanuni., SPIRIT(Roho) + FORM/CREATION(Maumbile) = CONSCIOUSNESS(Ufahamu).
*Spirit/roho ni hali ambayo haina mwisho wala mwanzo, ipo beyond time,ni kila kitu, haibadiliki, ya milele(eternal),enlightenment,formless etc.
*Form/creation/maumbile,ina weza kuwa gross material structure kama physical body, au subtle material structure kama mwili wa hisia au mwili wa akili.
*Intelligence kwenye hiyo kanuni ya hapo juu,ni "+" na "=",kwa lugha rahisi intelligence ni kile kinacho-organize beginning, middle and end. Tunaweza kusema intelligence ndio daraja linalounganisha maumbile/duality/creation/form na hali ya umungu(formlessness/unity)
Intelligence ndio source of identification, mfano utamsikia mtu anasema "mwili wangu", "hisia zangu" nk.
*Consciousness, hapa ndio sense of " i am" inapoonekana.
Kila kitu kina ufahamu, kwasababu kila kitu ni maumbile/form that spirit can fill. Ingawa ufahamu wa mlango au jiwe unaweza kuwa tofauti na ufahamu wa mmea, wa mnyama au wa mwanadamu. Kuzaliwa au kutengenezwa kwa maumbile ya kitu fulani ni kwamba hicho kitu "inevitably" lazima kife au kiwe-destroyed, ila roho/spirit itabaki bila mabadiliko yoyote, hivyo basi ufahamu ambao upo based kwenye maumbile ni wa mpito tu.
Hivyo basi, Maumbile na ufahamu vinategemeana.