Kwanini Viongozi Wanalindwa licha ya kuwa Wanaweza kuuawa?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau nimekuwa naona Aina mbali mbali za Ulinzi kwa Viongozi mbalimbali.Licha ya Ulinzi huo bado Baadhi ya Viongozi Wameuawa.
Najiuliza kwanini Wanaweza kuuawa Wakati wana huo Ulinzi au Walinzi wanakuwa hawana Mbinu za Kuwatambua Wauuaji mpaka wanafanikiwa kuwaua Viongozi?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Napendekeza waongezewe ulinzi wa kuzuia kutwaliwa na Muumba wao.
 
Swali kuu zaidi ni mbona wanahitaji ulinzi kama hawajamkosea yeyote na wanafanya kazi ipasavyo?
Kuna watu wanachuki tu za asili hata mitume na manabii licha yakutowakosea watu na kufanya kazi zao ipasavyo waliishia kusalitiwa na kuuwawa
 
Back
Top Bottom