Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama...
The Marijuana Conspiracy
The Real Reason why Hemp is Illegal
by Doug Yurchey
And I will raise up for them a plant of renown, and they shall be no more consumed with hunger in the land...
Habari za wakati huu wana Jamii Forums. Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, japo linaweza kuonekana kama halina mantiki kwa baadhi yenu ila ningependa kulileta kwenu. Hii dhana ya Mwaafrika...
Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.
Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha...
Karibuni katika mfululizo wa Makala kuhusu UJASUSI WA KIDINI. SEHEMU YA KWANZA.
WAJESUITI ( Jumuia au jamii ya YESU)
Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini...
Nadhani ni wengi tumewahi kuisikia au hata kuiona picha maarufu duniani hasa kwa waumini wa dini ya kikristo ya THE LAST SUPPER iliochorwa na mtu anaedhaniwa kuwa miongoni mwa watu wenye akili...
... Komandoo ni askari sugu, heavy duty machine na killing engines. Anapitia trainings nyingi za Hatari zikiwemo za kuvumilia mateso magumu ili wawe hard to crack and ku-develop mania during...
Haya madai huwa nayasikia sana kutoka kwa hawa jamaa.
Sasa nina maswali kwao.
Je kwanini wamefikia hatua ya kudai ya kuwa Mola muumba ni matokeo ya fikra za mwanadamu kutokana na uoga, hofu ya...
Katika hali ya tafakuri ya kawaida, Mungu ndiye Muumba wa vitu vyote akiwemo kiumbe binadamu!
Kizazi cha binadamu hufanya watu kuongezeka kila kukicha. Ongezeko la watu na kizazi kuendelea kuwepo...
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi...
Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu, kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au...
Nimekutana na khabari kuwa kuan fweza nyingine za BOT zimeliwa kiajabu ajabu na kampuni yenye jina la Kiganda-Kagoda Agriculture Limited.
Baya zaidi ni jinsi gani ambavyo udhaifu wa kiutendaji...
Habari wana g.t.
Siku ya leo nimeona ni muhimu ku-share na great thinkers hiki kitandawili ambacho nimejiuliza kwa miaka mingi bila kupata hitimisho.
Kitandawili hicho ni"what if life is a dream...
Tukubali tukatae kama mwanadamu angekuja miaka bilioni 2 iliyopita basi kufikia 2021,leo tungekuwa dunia ya teknolojia kubwa.
Mfano kusafiri mbali nje universe,kwenda sayari yoyote na popote...
1. Mto AMAZON
Mto huu unapatikana Amerika ya Kusini, ni mkubwa kuliko mito yote duniani na hatari sanaa kwasababu ya urefu wake na upana wake.
Kwakuwa mto huo ni mkubwa kuliko mito yote duniani...
Hi Guys!
Katika tafiti tulizokaririshwa na kuaminishwa, ni mengi tumeambiwa na wanasayansi wanaodai wametoka nje ya dunia. Mojawapo ya mambo tuliyoambiwa ni kwamba kuna miaka Billions Light years...
Wanabodi,
Nimekuwa nikijiuliza sana sisi tunaomwabudu Mungu wa dini mbalumbali na madhehebu mbalimbali, utakuta tunapingana kwa mengi mpaka tunatowana macho lakini likifika swala pesa hizi dini na...
mtu anapo kimbia bafuni bila nguo kisa ameona mende ile ni hofu lakini mtu anapo kimbia simba msituni ile
ni anakimbia hatari, mtu anapo ona kisiki usiku na kuzani ni mtu ile ni hofu. Tukiweza...
UFISADI NA BIASHARA YA FEDHA HARAMU
...Mei 1998, Andrew Chenge, akiwa mwanasheria mkuu alihalalisha (Authorized) malipo ya dola 600,000 kwenda kwenye akaunti ya kampuni iliyoitwa Langley...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.