Nambari za maafa za kimasonia 13 na 33

  • Thread starter wilbard athanass
  • Start date

wilbard athanass

wilbard athanass

Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
64
Likes
63
Points
25
wilbard athanass

wilbard athanass

Member
Joined Feb 28, 2014
64 63 25
Unapo wapekua freemasons, marais wa Marekani, mfumo wao wa utawala, kila mara utakutana na nambari hizi, 13 na 33. Wale wanaoitwa waanzilishi wa taifa ka Marekani ni Freemason na karibu wote wa maraisi wa taifa hilo ni freemason isipokuwa wachache.
4a6219130d91a8826c074cdf5ea86119.jpg

“Nambari 3,7,9,11,13,33,39 na jawabu ya kule kinacho patikana kwa kuzidisha nambari hizo kwa nyingine, zote hizo zinayo maana mahususi kwa Illuminanti. Tizama asasi ya siri ya Bilderberg Group inayo wanachama wakuu 39 ambao wamegawanywa kwenye makundi 3 yenye wanachama 13 kwa kila kundi. Wanachama wakuu 39 wapo chini ya Policy Committee yenye wajumbe 13. Wajumbe 13 wa Policy Committee wapo chini ya Round Table of Nine (9). Unafahamu kwamba idadi ya asili kwa majimbo ya Marekani ni 13. Katiba ya Marekani imegawanywa katika vifungu 7 na ilisainiwa na wajumbe 39 wa baraza la katiba” Secret Societies / New World Order" by Milton William Cooper
6d4accd955c8d5b8d81ed364dd0e9915.jpg

Watu wa mazingaombwe wanaamini kuwa, pale nembo au alama juu ya kitu fulani inapotengenezwa, basi inakuwa na nguvu sawa na kile inachokiwakilisha, hii ni elimu ya mazingaombwe. Alama hiyo inakuwa na nguvu zaidi inapokuwa ni mahususi inakinzana na sheria za maumbile zinazofahamika au inapokwenda kinyume na kanuni za Mungu Mmoja.

857a1e1f638912294b251ac11f95f07a.jpg

o Kwenye mkono wa kushoto wa Tai kuna majani 13 ya Mzaituni.

o Mistari 13 kwenye ngao.

o Mishale 13 mkono wa kulia.

o Nyota 13 juu ya kichwa cha tai.

o Ribbon iliyopo mdomoni mwa Tai inayo herufi 13. “E Pluribus

o Fritz Springmeir kwenye kitabu chakeThe 13 Bloodlines anasema kuwa mistari 13 ya tofali kwenye piramidi inawakilisha familia13 za kishetani.

Picha ya Piramid inayo patikana kwenye Dollar Bill ya Marekani na maandishi yaliyo izunguka picha hiyo, unapo unganisha herufi kwenye nukta maalum kwenye picha hiyo, unapata neno ‘MASON’

6a094a1374ef24608b707c2f1fc4eaad.jpg

Namba za Kiroma zinazo patikana kwenye kitako cha Piramid: MDCCLXXVI, Nambari hizi zinawakilisha Jina la Mnyama, au Jina la Mpinga Kristo au Kristo wa Uwongo
9457a3cf2c187cf089612fed57f766e1.jpg

"MDCCLXXVI".
Unapo zisoma tarakimu hizo kuja kwenye nambari za kingereza, unapata 1776 yaani siku ambayo makoloni 13 ya Uingereza, ambayo yalikuwa Amerika ya Kaskazini yamepata uhuru, ambapo ni sawa kabisa, lakini hapa hatutizami umbo la nje la kitu, bali kile ambacho kinawakilishwa na umbo hilo. Je unajua MDCCLXXVI inawakilisha nini kwenye habari hii? Inasimama badala ya jina la mnyama.
f5e30e5952f3d8b1a4c9f29499d6a537.jpg

Kama tukichukua nambari hizo za Kiroma na kuzijumlisha pamoja, unajua tunapata nini?

Waroma walikuwa wakitumia herufi katika mfumo wao wa nambari, hivyo tukiichukua DCLXVI inakuwa D= 500,C=100, X=10, V=5 na I=1. Herufi ‘M’haikuwa ikitumiwa na Waroma kama nambari mpaka baadaye sana.

Hivyo, 5+0+0+1+0+0+1+0+5+1= 13

4cb16cfb558972bbe4d1255c85c7a19f.jpg

Kunazo nyota 13 kwenye bikari ya Kimasonia inayo onekana kwenye muhiri wa Hazina.

E.W. Bullinger anaandika kuwa:

“Tunapo zungumzia umuhimu wa nambari kumi na tatu (13) wote wanafahamu kwamba nambari hii, imeshushwa kwetu sisi kama nambari yenye kubashiria mambo mabaya, nambari ya balaa…”

“Bahati mbaya, wale wanao rudi nyuma kutafuta sababu mara chache sana wanarudi nyuma kiasi kinacho takiwa. Maelezo maarufu siyo, hata hivyo kama tunavyo fahamu, nambari hii inarudi nyuma sana hata kabla ya viongozi (wetu). Lakini ni lazima turudi nyuma mahala ambapo nambari kumi na tatu ilitokeza mwanzo, ili kuweza kugundua maana yake halisi. Ilitokea mwanzo kwenye kitabu cha Mwanzo 14 :4 ambapo kinasema, “Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu WAKAASI.”

Hivyo basi kila inapoonekana nambari 13 na kila ile yenye kuzidishwa kwayo, inamaasnisha kile ambacho inacho kisimamia ni UASI, UPAGANI, UHARIBIFU, UFISADI, UVUNJIFU, MAPINDUZI, NA YENYE KUFANANA NA HAYO.” (Bullinger, E.W. Number in Scripture, Kregel Publications, (c)1967, Uk. 205).

Je, kupatikana kwa taifa la Marekani hakukuwa ni UASI kwa Uingereza?

Hazina ya Marekani iliyo chini ya Federal Reserve sindiyo inayo endesha mfumo wa kibenki unao wafunga walimwengu wote kwenye madeni?

Nambari 13 na 33 ni nambari za Kimasonia.

Tarehe 6, 1945, saa 8:15 a.m. United State B-29 Bomber Enola Gay, kwenyemisheni nambari 13, ilidondosha bomu la nyuklia lililoitwa ‘Little Boy’, Hiroshima, Japan.

2d8bca2b12895fda40bec78446778dd4.jpg

Hii ilikuwa ni ‘Day One’ ya zama mpya, zama za nuklia. Kuweza kuelewa mabadiliko haya, tugeuke tana na kuitizama nambari 13, kutoka kwenye kuundwa kwa taifa la Marekani mpaka kwenye milipuko wa Bomu la Nuklia ndani ya Hiroshima.

Mwaka 1935, Paul Foster Case aliandika:

Tangu tarehe, 1776, iweke chini kwenye tako la uvungu wa msingi wa Piramidi na kuwekwa kwenye muhuri mkuu, na tangu nambari hapo nambari 13 imekuwa ni nambari muhimu mno kwenye historia ya Marekani na kwenye nembo ya muhuri, siyo uwendawazimu kufikiri kwamba, mistari 13 ya Piramidi inaweza kuwa inawakilisha nyakati kumi na tatu, “kipindi cha tofauti ya miaka kumi na tatu kila kimoja." 13x13 ni sawa na miaka169. Kutoka Julai 4,1776 mpakaJulai July 4, 1945 ni sawa na miaka 169.Kutoka Julai 4, 1945 mpaka Agosti 6, 1945 siku ambayo Hiroshima ilipigwa ni siku 33. Bomu hilo lilidondoshwa karibu kabisa na nyuzi 33 za latitude.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
18,365
Likes
40,699
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
18,365 40,699 280
Mimi nasubiri Wasabato watoe kwanza tamko kama hayo yanaratibiwa na Vatican..
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,819
Likes
1,101
Points
280
Age
30
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,819 1,101 280
Nimevuta kiti nikae kuendelea kujifunza
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
3,324
Likes
4,077
Points
280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
3,324 4,077 280
Tusichoke kujifunza!
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
13,644
Likes
10,975
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
13,644 10,975 280
13th tribe
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
1,727
Likes
1,738
Points
280
Age
24
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
1,727 1,738 280
Wewe umeyatoa wapi yote hayo
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
581
Likes
270
Points
80
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
581 270 80
Unapo wapekua freemasons, marais wa Marekani, mfumo wao wa utawala, kila mara utakutana na nambari hizi, 13 na 33. Wale wanaoitwa waanzilishi wa taifa ka Marekani ni Freemason na karibu wote wa maraisi wa taifa hilo ni freemason isipokuwa wachache.
“Nambari 3,7,9,11,13,33,39 na jawabu ya kule kinacho patikana kwa kuzidisha nambari hizo kwa nyingine, zote hizo zinayo maana mahususi kwa Illuminanti. Tizama asasi ya siri ya Bilderberg Group inayo wanachama wakuu 39 ambao wamegawanywa kwenye makundi 3 yenye wanachama 13 kwa kila kundi. Wanachama wakuu 39 wapo chini ya Policy Committee yenye wajumbe 13. Wajumbe 13 wa Policy Committee wapo chini ya Round Table of Nine (9). Unafahamu kwamba idadi ya asili kwa majimbo ya Marekani ni 13. Katiba ya Marekani imegawanywa katika vifungu 7 na ilisainiwa na wajumbe 39 wa baraza la katiba” Secret Societies / New World Order" by Milton William CooperWatu wa mazingaombwe wanaamini kuwa, pale nembo au alama juu ya kitu fulani inapotengenezwa, basi inakuwa na nguvu sawa na kile inachokiwakilisha, hii ni elimu ya mazingaombwe. Alama hiyo inakuwa na nguvu zaidi inapokuwa ni mahususi inakinzana na sheria za maumbile zinazofahamika au inapokwenda kinyume na kanuni za Mungu Mmoja.

o Kwenye mkono wa kushoto wa Tai kuna majani 13 ya Mzaituni.

o Mistari 13 kwenye ngao.

o Mishale 13 mkono wa kulia.

o Nyota 13 juu ya kichwa cha tai.

o Ribbon iliyopo mdomoni mwa Tai inayo herufi 13. “E Pluribus

o Fritz Springmeir kwenye kitabu chakeThe 13 Bloodlines anasema kuwa mistari 13 ya tofali kwenye piramidi inawakilisha familia13 za kishetani.Picha ya Piramid inayo patikana kwenye Dollar Bill ya Marekani na maandishi yaliyo izunguka picha hiyo, unapo unganisha herufi kwenye nukta maalum kwenye picha hiyo, unapata neno ‘MASON’
Namba za Kiroma zinazo patikana kwenye kitako cha Piramid: MDCCLXXVI, Nambari hizi zinawakilisha Jina la Mnyama, au Jina la Mpinga Kristo au Kristo wa Uwongo au Masih Dajjal.

"MDCCLXXVI".
Unapo zisoma tarakimu hizo kuja kwenye nambari za kingereza, unapata 1776 yaani siku ambayo makoloni 13 ya Uingereza, ambayo yalikuwa Amerika ya Kaskazini yamepata uhuru, ambapo ni sawa kabisa, lakini hapa hatutizami umbo la nje la kitu, bali kile ambacho kinawakilishwa na umbo hilo. Je unajua MDCCLXXVI inawakilisha nini kwenye habari hii? Inasimama badala ya jina la mnyama.

Kama tukichukua nambari hizo za Kiroma na kuzijumlisha pamoja, unajua tunapata nini?

Waroma walikuwa wakitumia herufi katika mfumo wao wa nambari, hivyo tukiichukua DCLXVI inakuwa D= 500,C=100, X=10, V=5 na I=1. Herufi ‘M’haikuwa ikitumiwa na Waroma kama nambari mpaka baadaye sana.

Hivyo, 5+0+0+1+0+0+1+0+5+1= 13

Kunazo nyota 13 kwenye bikari ya Kimasonia inayo onekana kwenye muhiri wa Hazina.
E.W. Bullinger anaandika kuwa:

“Tunapo zungumzia umuhimu wa nambari kumi na tatu (13) wote wanafahamu kwamba nambari hii, imeshushwa kwetu sisi kama nambari yenye kubashiria mambo mabaya, nambari ya balaa…”

“Bahati mbaya, wale wanao rudi nyuma kutafuta sababu mara chache sana wanarudi nyuma kiasi kinacho takiwa. Maelezo maarufu siyo, hata hivyo kama tunavyo fahamu, nambari hii inarudi nyuma sana hata kabla ya viongozi (wetu). Lakini ni lazima turudi nyuma mahala ambapo nambari kumi na tatu ilitokeza mwanzo, ili kuweza kugundua maana yake halisi. Ilitokea mwanzo kwenye kitabu cha Mwanzo 14 :4 ambapo kinasema, “Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu WAKAASI.”

Hivyo basi kila inapoonekana nambari 13 na kila ile yenye kuzidishwa kwayo, inamaasnisha kile ambacho inacho kisimamia ni UASI, UPAGANI, UHARIBIFU, UFISADI, UVUNJIFU, MAPINDUZI, NA YENYE KUFANANA NA HAYO.” (Bullinger, E.W. Number in Scripture, Kregel Publications, (c)1967, Uk. 205).

Je, kupatikana kwa taifa la Marekani hakukuwa ni UASI kwa Uingereza?

Hazina ya Marekani iliyo chini ya Federal Reserve sindiyo inayo endesha mfumo wa kibenki unao wafunga walimwengu wote kwenye madeni?

Nambari 13 na 33 ni nambari za Kimasonia.

Tarehe 6, 1945, saa 8:15 a.m. United State B-29 Bomber Enola Gay, kwenyemisheni nambari 13, ilidondosha bomu la nyuklia lililoitwa ‘Little Boy’, Hiroshima, Japan.

Hii ilikuwa ni ‘Day One’ ya zama mpya, zama za nuklia. Kuweza kuelewa mabadiliko haya, tugeuke tana na kuitizama nambari 13, kutoka kwenye kuundwa kwa taifa la Marekani mpaka kwenye milipuko wa Bomu la Nuklia ndani ya Hiroshima.

Mwaka 1935, Paul Foster Case aliandika:

Tangu tarehe, 1776, iweke chini kwenye tako la uvungu wa msingi wa Piramidi na kuwekwa kwenye muhuri mkuu, na tangu nambari hapo nambari 13 imekuwa ni nambari muhimu mno kwenye historia ya Marekani na kwenye nembo ya muhuri, siyo uwendawazimu kufikiri kwamba, mistari 13 ya Piramidi inaweza kuwa inawakilisha nyakati kumi na tatu, “kipindi cha tofauti ya miaka kumi na tatu kila kimoja." 13x13 ni sawa na miaka169. Kutoka Julai 4,1776 mpakaJulai July 4, 1945 ni sawa na miaka 169.Kutoka Julai 4, 1945 mpaka Agosti 6, 1945 siku ambayo Hiroshima ilipigwa ni siku 33. Bomu hilo lilidondoshwa karibu kabisa na nyuzi 33 za latitude.
Ok
 
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Messages
1,363
Likes
1,602
Points
280
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2017
1,363 1,602 280
Mada moto Kama hz ndo huwa najiona kweli kwa magreathinker
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,746
Likes
4,351
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,746 4,351 280
Upuuuzi mtupu. Bado Kuna wajinga wanaamini conspiracy theories za Freemasonry na Illuminati!
 
makinikia 101

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
493
Likes
864
Points
180
makinikia 101

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
493 864 180

Mkuu, kutokuamini uchawi haimaanishi uchawi haupo. Numbers rule kwenye kila kitu
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,746
Likes
4,351
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,746 4,351 280
Mkuu, kutokuamini uchawi haimaanishi uchawi haupo. Numbers rule kwenye kila kitu
Hizi conspiracy za kitoto zinawashika wajinga na wavivu wa kufikiri ambao wanatafuta sababu ya kila shortcomings zao badala ya kupambana na Hali zao.
 
makinikia 101

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
493
Likes
864
Points
180
makinikia 101

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
493 864 180
Hizi conspiracy za kitoto zinawashika wajinga na wavivu wa kufikiri ambao wanatafuta sababu ya kila shortcomings zao badala ya kupambana na Hali zao.
Mkuu kila watu na imani zao. We should respect our differences, hatuwezi kuwa na imani moja watu wote
 
wilbard athanass

wilbard athanass

Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
64
Likes
63
Points
25
wilbard athanass

wilbard athanass

Member
Joined Feb 28, 2014
64 63 25
Unapo wapekua freemasons, marais wa Marekani, mfumo wao wa utawala, kila mara utakutana na nambari hizi, 13 na 33. Wale wanaoitwa waanzilishi wa taifa ka Marekani ni Freemason na karibu wote wa maraisi wa taifa hilo ni freemason isipokuwa wachache.

“Nambari 3,7,9,11,13,33,39 na jawabu ya kule kinacho patikana kwa kuzidisha nambari hizo kwa nyingine, zote hizo zinayo maana mahususi kwa Illuminanti. Tizama asasi ya siri ya Bilderberg Group inayo wanachama wakuu 39 ambao wamegawanywa kwenye makundi 3 yenye wanachama 13 kwa kila kundi. Wanachama wakuu 39 wapo chini ya Policy Committee yenye wajumbe 13. Wajumbe 13 wa Policy Committee wapo chini ya Round Table of Nine (9). Unafahamu kwamba idadi ya asili kwa majimbo ya Marekani ni 13. Katiba ya Marekani imegawanywa katika vifungu 7 na ilisainiwa na wajumbe 39 wa baraza la katiba” Secret Societies / New World Order" by Milton William Cooper

Watu wa mazingaombwe wanaamini kuwa, pale nembo au alama juu ya kitu fulani inapotengenezwa, basi inakuwa na nguvu sawa na kile inachokiwakilisha, hii ni elimu ya mazingaombwe. Alama hiyo inakuwa na nguvu zaidi inapokuwa ni mahususi inakinzana na sheria za maumbile zinazofahamika au inapokwenda kinyume na kanuni za Mungu Mmoja.
3f048577fbee9f48fb27f46611b3b455.jpg

o Kwenye mkono wa kushoto wa Tai kuna majani 13 ya Mzaituni.

o Mistari 13 kwenye ngao.

o Mishale 13 mkono wa kulia.

o Nyota 13 juu ya kichwa cha tai.

o Ribbon iliyopo mdomoni mwa Tai inayo herufi 13. “E Pluribus

o Fritz Springmeir kwenye kitabu chakeThe 13 Bloodlines anasema kuwa mistari 13 ya tofali kwenye piramidi inawakilisha familia13 za kishetani.

Picha ya Piramid inayo patikana kwenye Dollar Bill ya Marekani na maandishi yaliyo izunguka picha hiyo, unapo unganisha herufi kwenye nukta maalum kwenye picha hiyo, unapata neno ‘MASON’
ed203cf40a4943f7a843fb7d2e7b01d4.jpg

Namba za Kiroma zinazo patikana kwenye kitako cha Piramid: MDCCLXXVI, Nambari hizi zinawakilisha Jina la Mnyama, au Jina la Mpinga Kristo au Kristo wa Uwongo
3c7823aff6bdbb6ba70ccf5a0d3269f6.jpg

"MDCCLXXVI".
Unapo zisoma tarakimu hizo kuja kwenye nambari za kingereza, unapata 1776 yaani siku ambayo makoloni 13 ya Uingereza, ambayo yalikuwa Amerika ya Kaskazini yamepata uhuru, ambapo ni sawa kabisa, lakini hapa hatutizami umbo la nje la kitu, bali kile ambacho kinawakilishwa na umbo hilo. Je unajua MDCCLXXVI inawakilisha nini kwenye habari hii? Inasimama badala ya jina la mnyama.

Kama tukichukua nambari hizo za Kiroma na kuzijumlisha pamoja, unajua tunapata nini?

Waroma walikuwa wakitumia herufi katika mfumo wao wa nambari, hivyo tukiichukua DCLXVI inakuwa D= 500,C=100, X=10, V=5 na I=1. Herufi ‘M’haikuwa ikitumiwa na Waroma kama nambari mpaka baadaye sana.

Hivyo, 5+0+0+1+0+0+1+0+5+1= 13
6c28911c28c5e6eea2dda6eb4c279717.jpg

Kunazo nyota 13 kwenye bikari ya Kimasonia inayo onekana kwenye muhiri wa Hazina.

E.W. Bullinger anaandika kuwa:

“Tunapo zungumzia umuhimu wa nambari kumi na tatu (13) wote wanafahamu kwamba nambari hii, imeshushwa kwetu sisi kama nambari yenye kubashiria mambo mabaya, nambari ya balaa…”

“Bahati mbaya, wale wanao rudi nyuma kutafuta sababu mara chache sana wanarudi nyuma kiasi kinacho takiwa. Maelezo maarufu siyo, hata hivyo kama tunavyo fahamu, nambari hii inarudi nyuma sana hata kabla ya viongozi (wetu). Lakini ni lazima turudi nyuma mahala ambapo nambari kumi na tatu ilitokeza mwanzo, ili kuweza kugundua maana yake halisi. Ilitokea mwanzo kwenye kitabu cha Mwanzo 14 :4 ambapo kinasema, “Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu WAKAASI.”

Hivyo basi kila inapoonekana nambari 13 na kila ile yenye kuzidishwa kwayo, inamaasnisha kile ambacho inacho kisimamia ni UASI, UPAGANI, UHARIBIFU, UFISADI, UVUNJIFU, MAPINDUZI, NA YENYE KUFANANA NA HAYO.” (Bullinger, E.W. Number in Scripture, Kregel Publications, (c)1967, Uk. 205).

Je, kupatikana kwa taifa la Marekani hakukuwa ni UASI kwa Uingereza?

Hazina ya Marekani iliyo chini ya Federal Reserve sindiyo inayo endesha mfumo wa kibenki unao wafunga walimwengu wote kwenye madeni?

Nambari 13 na 33 ni nambari za Kimasonia.
76343dae0457e27f503d3724e041913d.jpg

Tarehe 6, 1945, saa 8:15 a.m. United State B-29 Bomber Enola Gay, kwenyemisheni nambari 13, ilidondosha bomu la nyuklia lililoitwa ‘Little Boy’, Hiroshima, Japan.

Hii ilikuwa ni ‘Day One’ ya zama mpya, zama za nuklia. Kuweza kuelewa mabadiliko haya, tugeuke tana na kuitizama nambari 13, kutoka kwenye kuundwa kwa taifa la Marekani mpaka kwenye milipuko wa Bomu la Nuklia ndani ya Hiroshima.

Mwaka 1935, Paul Foster Case aliandika:

Tangu tarehe, 1776, iweke chini kwenye tako la uvungu wa msingi wa Piramidi na kuwekwa kwenye muhuri mkuu, na tangu nambari hapo nambari 13 imekuwa ni nambari muhimu mno kwenye historia ya Marekani na kwenye nembo ya muhuri, siyo uwendawazimu kufikiri kwamba, mistari 13 ya Piramidi inaweza kuwa inawakilisha nyakati kumi na tatu, “kipindi cha tofauti ya miaka kumi na tatu kila kimoja." 13x13 ni sawa na miaka169. Kutoka Julai 4,1776 mpakaJulai July 4, 1945 ni sawa na miaka 169.Kutoka Julai 4, 1945 mpaka Agosti 6, 1945 siku ambayo Hiroshima ilipigwa ni siku 33. Bomu hilo lilidondoshwa karibu kabisa na nyuzi 33 za latitude.
 
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,047
Likes
14,178
Points
280
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,047 14,178 280
Ndio maana hawataki Mkatoliki awe rais
Akiwa wanamuua faster
 
Y

YABUUU

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Messages
1,407
Likes
1,213
Points
280
Y

YABUUU

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2015
1,407 1,213 280
kuna movie inaitwa 13 a conspirance,
 
Forum statistics

Threads 1,237,958
Members 475,776
Posts 29,307,891