Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena. Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Jana yalianza maumivu ambayo naona leo yamepungua, ila nashangaa kuona uvimbe!! Sijajua exctly kipi kimesababisha...ila juzi niliendesha gari kwenye rough road karibia 8km...kabla ya hapo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Unajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili (1) je hii...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Kwa kifupi sana, nimesikia mitaani, eti ukimtahiri mtoto mdogo toddler (sio mchanga,) uume wake hautaongezeka, yaani wakati sahii afikishe miaka saba na kuendelea ama awe mchanga kabisa. Naomba...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Mwenzenu nina shida sana. Nilinenepa na kwenda kupima nikakuta nina kilo 125.8 wakati urefu wangu ni 198 nikashauriwa niwe na kilon 98 au 90. Nikaanza kufanya mazoezi na kupunguza sana msosi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wengi wananunua mashuka kutokana na mapenzi yao, lakini hawafahamu rangi ya shuka ina uhusiano na afya. 1. Rangi ya chungwa Shuka ya rangi ya chungwa inaweza kusaidia kuongeza hamu ya kula na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau. Naomba mnijuze hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki Tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi,,? Au changa La macho ,?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau naomba mnijuze, Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi? Au changa la macho?
0 Reactions
22 Replies
20K Views
Salam wana jamvi! Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kati wa pombe hasa weekend na nikiwa likizo. Nimetumia pombe kuanzia tarehe tano had tare 26 December bila kupumzika. Mara nyingi natumia Castle...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Salaam. Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza. Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibu katika kulijadili hili kama kichwa cha habari kinavyosema.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Salaam. Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya Majijini. Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe kuhusiana na Tiba hii kwa namna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Arthritis ni nini? Ni ugonjwa unaofanya viungo vyako kukauka na kuwa vigumu kuvisongesha kwani ukifanya hivyo, utasikia uchungu. Hali iliyo kawaida na kujitokeza sana sana ile...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
"Food additives" ni kemikali (kimsingi) zinazoongezwa kwenye vyakula (hasa processed foods) ili kutunza ama kuongeza ladha na mwonekano. Mara nyingi sana tunaponunua vyakula hasa supermarkets...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa matonsesi. Sasa nina nafuu kidogo, ila kuna tatizo lingine limejitokeza. Nakuwa kama nakabwa koo, koo limekuwa kavu sana na njia yote kuanzia mdomoni mpaka...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
habari zenu guys naomba kuelekezwa anapopatikana daktari wa ngozi au specialist yeyote anaeweza kunisaidia masuala ya ngozi hasa katika uchaguzi wa mafuta ya kupaka. Apatikane hapa Dar es salaam.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Samahani nimetokewa na viple vdgo sehemu lakini ni kwenye mashavu ya sehemu siri vinauma sana kilianza upande wa kushto baadae kikja kikapasuka maumivu yamezid mno na leo asubuhi nimeqngalia naona...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Mke wangu tokea jana jioni alipata maumivu ya ghafla ya mfupa wa paja la kushoto na yameendelea kuongezeka. Naomba msaada wa hili tatizo.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu, naishi na mdogo wangu. Mara ta mwisho kuongea MP nilikuwa tarehe 20.11.2015. mpka sasa hajapata MP. nilimpima kwa kutumia UPT ikasoma positive. amefurahi maana alikuwa a natamani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom