Wakuu ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa matonsesi. Sasa nina nafuu kidogo, ila kuna tatizo lingine limejitokeza.
Nakuwa kama nakabwa koo, koo limekuwa kavu sana na njia yote kuanzia mdomoni mpaka kooni inakuwa na ukakasi kama nimemeza utomvu wa ndizi mbichi.
Nateseka jamani. Naombeni msaada wenu jamani. Je, ni tatizo gani hili na tiba yake ni nini?