Ugonjwa wa Mifupa (Arthritis) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa Mifupa (Arthritis)

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Aug 14, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Arthritis ni nini?

  Ni ugonjwa unaofanya viungo vyako kukauka na kuwa vigumu kuvisongesha kwani ukifanya hivyo, utasikia uchungu. Hali iliyo kawaida na kujitokeza sana sana ile inavamia viungo (Osteoarthritis) na ile inaathiri mwili mzima na kuufanya uvimbe ama kuleta mwasho viungoni. Mara nyingi, ugonjwa huu huwa haujitokezi bayana hadi pale ambapo mtu hufikia miaka arobaini au zaidi.

  Ni nini dalili za ugonjwa huu? (Osteoarthritis)

  Maumivu ya viungo baada ya mtu kufanya mazoezi ama shughuli za kutumia nguvu
  Ugumu kwenye mikono, magoti, nyonga ama mgongo baada ya mtu kukaa kwa muda bila kusonga
  Viungo kuvimba na kuwa vidhaifu na vyororo
  Viungo kugongana na kutoa sauti mtu anajaribu kutembeatembea

  Rheumatoid Arthritis

  • Viungo vyenye maumivu makali vyenye kukauka
  • Viungo kuwa na joto, vyekundu na kuvimba
  • Mtu kuwa na joto
  • Kuhisi mchovu na mdhoofu
  • Kukosa hamu ya chakula
  Hutibiwaje?

  Muone daktari kisha akufanyie uchunguzi. Unaweza kupata matibabu ya kumaliza maumivu na kufanya mazoezi ya kufanya viungo viwe vyepesi.

  Source: Mzizimkavu
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  mKUU KUNA UHUSIANO WOWOTE WA HUU UGONJWA NA GOUT?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ukiwa kama mtaalam wa tiba mbadala, unashauri watu watumie nini kujikinga na ugonjwa huu? Kuna vyakula au mitishamba inayoweza kusaidia?
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
 6. N

  Ngala Senior Member

  #6
  Aug 15, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu hakuna tiba mmbala maana naona ni ugonjwa wa utu uzima ambao mii nipo jirani nao sana.kama kuna tiba mmbadala tuwekee mkuu. nimeku pm mkuu nipe msaada mkuu
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Degenerative diseases mara nyingi zinaambatana na kurithi kinasaba (genetics).Kama kwenye ukoo wenu kuna wenye kuathirika zaidi na hali hii basi chances are nawe utapata zahama hiyo. Kwenye arthritis inashauriwa kuchunga uzito maana huu huweka tension hasa kwenye mifupa ya magoti kusuguana na kuleta maumivu. Utu uzima unapoingia utaumia zaidi kuliko yule aliyechunga uzito wake.Mazoezi pia ni muhimu.Wanawake hasa wenye umri mdogo kunyweni maziwa na kutumia calcium supplements maana wanawake hupata athari zaidi hasa wafikiapo menopause kwa vile mifupa huanza kuwa hafifu.
   
 8. f

  fashari gaga New Member

  #8
  Dec 13, 2015
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dr je ugonjwa wa tezi dume, au ugonjwa wa mifupa waweza sababisha hear loss
   
 9. m

  mama esta Member

  #9
  Dec 18, 2015
  Joined: Nov 23, 2015
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  menopouse anaweza kuzaa ?
   
 10. Jr Samsung

  Jr Samsung Member

  #10
  Dec 19, 2015
  Joined: Jun 18, 2015
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  taya la chini halitembei baada ya kung'oa jino likiambatana na maumivu makali chini ya sikio tatizo nini dokta
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2015
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Menopause kukatika kwa damu ya hedhi kwa mwanamke akiwa na na hiyo Menopause, hawezi tena kuzaa wala kushika mimba.
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2015
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Nenda haraka hospitali pale walipo kung'owa jino lako ukapewe dawa.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2015
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Ugonjwa wa tezi dume na ugonjwa wa mifupa hauwezi kusababisha hear loss
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2015
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Ndio vipo vyakula na tiba ya kutibu huu ugonjwa
   
 15. Munguwatosha

  Munguwatosha JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2015
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
   
Loading...