Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Mwenzenu nina shida sana. Nilinenepa na kwenda kupima nikakuta nina kilo 125.8 wakati urefu wangu ni 198 nikashauriwa niwe na kilon 98 au 90. Nikaanza kufanya mazoezi na kupunguza sana msosi hususani ule mlo wa usiku. Nikawa nakula vyakula vyepesi kama vile matunda na mboga za majani kwa wingi. Tatizo ni kwamba nimepungua mwili na wengi wananisifu kwa hilo, tatizo uzito uko palepale. Naomba ushauri wenu wadau. Nizangatie nn katika kufanya mazoezi maana huwa ninakimbia na kuruka sana kamba.