mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,285
"Food additives" ni kemikali (kimsingi) zinazoongezwa kwenye vyakula (hasa processed foods) ili kutunza ama kuongeza ladha na mwonekano. Mara nyingi sana tunaponunua vyakula hasa supermarkets hatuna utaratibu wa kusoma "ingredients" zake.
Kwa heshima ya afya yako, pitia hii hapa attachment itakisaidia kwa namna moja ama nyingine.
NB: Weka utaratibu wa kujua nini unakula na madhara yake pia..
Kwa heshima ya afya yako, pitia hii hapa attachment itakisaidia kwa namna moja ama nyingine.
NB: Weka utaratibu wa kujua nini unakula na madhara yake pia..