Maumivu ya mfupa wa paja

citizentz

Member
Feb 25, 2015
13
11
Mke wangu tokea jana jioni alipata maumivu ya ghafla ya mfupa wa paja la kushoto na yameendelea kuongezeka.

Naomba msaada wa hili tatizo.
 
Kipindi mmaduu utakuwa ulimkandamiza sana! Uangalie wenda unamzidi uzito afu unaendekeza kifo cha cockroach...!
 
Back
Top Bottom