Unafahamu rangi ya shuka ya kitanda ina uhusiano na afya?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Watu wengi wananunua mashuka kutokana na mapenzi yao, lakini hawafahamu rangi ya shuka ina uhusiano na afya.
1. Rangi ya chungwa
Shuka ya rangi ya chungwa inaweza kusaidia kuongeza hamu ya kula na kuchochea watu kunyonya calcium kutoka chakula.
2. Rangi ya Bluu
Rangi ya Bluu inaweza kusaidia kupunguza maumivu ya kichwa na kukosa usingizi.
3. Rangi Nyekundu
Shuka nyekundu inaweza kuleta hisia ya wasiwasi, hivyo mtu anayekosa usingizi, au mwenye ugonjwa wa moyo hafai kutumia shuka nyekundu.
4. Rangi ya kijani
Rangi hii inasaidia kutuliza moyo wako, hivyo shuka kijani inaweza kukufanye upate usingizi mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom