Daktari wa ngozi

tunage

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
252
168
habari zenu guys naomba kuelekezwa anapopatikana daktari wa ngozi au specialist yeyote anaeweza kunisaidia masuala ya ngozi hasa katika uchaguzi wa mafuta ya kupaka.

Apatikane hapa Dar es salaam.
 
Mkuu kwakuwa umeweka mazingira kuwa ya dar nadhani umepunguza wigo wa kupata uwezekano wa kuwapewa taarifa zaidi za hao wataalamu.
 
habari zenu guys naomba kuelekezwa anapopatikana daktari wa ngozi au specialist yeyote anaeweza kunisaidia masuala ya ngozi hasa katika uchaguzi wa mafuta ya kupaka.APATIKANE hapa DAR ES SALAM

Nenda Aga Khan, mtafute Dr. Mgonda huwa anakuwepo jioni sa 11 ni Dr. mzuri sana wa ngozi. Au anakuwepo Muhimbili ila sijui ratiba za huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom