Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani nahitaji msaada wa matibabu ya kifafa haraka. Kuna watu wananiambia kuwa tiba sahihi ya kifafa ni kwa kutumia mitishamba na si kutumia dawa za hospitalini. Sasa nimeshindwa kufanya maamuzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu heshima yenu!! nilishawahi kupost thread kama hii kipindi cha nyuma kidogo,nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya korodani baada ya kudo kwa mda mrefu sasa,nilifuata ushauri wote wa member...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yan mie kila nkickia njaa tu,nakuwa na hasira za ajabu kwel!nin kinasababsha hi hali wataalamu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Many people in our community do not like talking about it. Whether you talk about or not it is there and is a problem within our community. We will start bringing some awareness information about...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mboo (pia: Uume) ni kiungo cha uzazi cha kiume ambacho hupitisha shahawa yenye mbegu kutoka mapumbu kupitia kifuko cha akiba kwa kuingizwa katika Utupu wa mwanamke Mboo pia hutumika kupitisha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Source: From Yahoo friends WASH YOUR GARMENTS BEFORE WEARING, IT IS IMPORTANT. Please share with as many women and men that you know. Please make it a habit to wash your just purchased...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania wote na nchi zote nawasalimia naomba mnishauri / mnipatie dawamimi nina umri wa miaka 40 sieleweki na tatizo langu lina kama mwaka sasa nilikuwa natumia dawa za uzazi wa mpango toka...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nataka kujua sababu inayonifanya nisinzie bila mpango.kitugani kina sababisha,na tiba ni nini.tatizo hili lilianza wakati nilipokuwa darasa la tatu,nikaanza kujikuta nasinzia wakati mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari members, Nina kijana wangu mdogo wa miezi 10, hivi karibuni nimegundua ni mashoto, hasa ninapojaribu kumpa kitu huwa anatanguliza mkono wake wa kushoto, nimemchunguza zaidi nimegundua hata...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
naombeni tips jamani jinsi ya kuishi kipindi hiki cha ujauzito niliopata hapa jf ili niweze kijifungua maxence wangu salama nashukuruni
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kolesteroli na namna iwezavyo kudhibitiwa bila dawa MAJI HUKINGA NA KUPONYA KOLESTEROLI: Kwa kusikia tu sentensi ‘’Una kolesteroli iliyozidi’’ toka kwa daktari kunaweza kumfanya mtu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Ngoja nianze na swali."Kwa nini wasichana wengi wa nchi zinazoendelea wanapoteza 'shape' zao na hata zile za maziwa(breasts) kulala au kuwa makubwa na hata kushindwa kurudia shape yake ya awali...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
wana JF naomba msaada wakuelimishwa kama nipo sahihi,mimini mtumiaji mkubwa wa computer-laptop katika masaa 24 naweza kutumia masaa 14 na laptop, sasa nahisi macho yanaweza kupata madhara hivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hayo ni maon yangu tu lakini natumaini nitaungwa mkono huyu jamaa anajitahidi sana kutusaidia hapa jamvini kila la kheri na mungu azidi kumtia nguvu nakuombea mema Dr. Riwa nimekuwa nisomasana...
15 Reactions
63 Replies
8K Views
Dawa ya Ugonjwa wa Uchovu wa mwili hii hapa Tumia kijiko kimoja cha mafuta ya habba sauda pamoja na glasi moja ya maji ya machungwa changanya pamoja kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku kumi...
0 Reactions
15 Replies
15K Views
Wandugu natumai mu wazima wa afya. Nahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu hizi tezi za pua. Nina mtoto wa miaka miwili amekuwa akisumbuliwa na mafua kwa muda mrefu tangu akiwa na wiki mbili, ila...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wajumbe naomba msaada kujua je kwa mtu mwenye macho mekundu kuna njia ya kuyafanya yawe meupe?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba kujulishwa je kutofanya mapenzi(kutojitoa kabisa tangu utoto had ukubwani) kuna madhara yoyote kiafya? Nawasilisha.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
he nisaidieni, hii hamu ya kumumunya udongo inanizidi. sio mjamzito!!!!! maana mwaezasema ni mjamzito. Inatokea tu ninakua na hamu ya kula udongo. Nifanyeje niiache?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Wikiend iliyoisha nlikua Zanzibar kibiashara, na nlifanikiwa kufika salama tu. Bahati mbaya nilikosa ndege wakati wa kurudi hivyo nikalazimika kuchukua boat. Kwakua si mzoefu wa kusafiri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom