Samahani nimetokewa na viple vdgo sehemu lakini ni kwenye mashavu ya sehemu siri vinauma sana kilianza upande wa kushto baadae kikja kikapasuka maumivu yamezid mno na leo asubuhi nimeqngalia naona vmetokea na upnde wa kulia lakin hvjapasuka bado je hii ji nini na tiba yake nini?
Nilijaribu kugoogle nikaona kama wanaita genital herpes naomba kusaidwa dawa nzuri ni ipi ili tatizo liondoke kabsa
Nilijaribu kugoogle nikaona kama wanaita genital herpes naomba kusaidwa dawa nzuri ni ipi ili tatizo liondoke kabsa