Msaada kuhusu tiba ya "nuga best'

Heart Wood.

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
972
1,150
Wakuu, Salaam.

Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya Majijini.

Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe kuhusiana na Tiba hii kwa namna inavyofanya kazi,uhakika kama kweli inasaidia kuondoa maumivu ya mishipa mwilini ,na uhakika kama hakuna madhara yoyote utumiapo Tiba hii maana wanatumia Thermal Therapy, sasa wasiwasi wangu ni kuwa hakuna madhara yoyote ukitumia Tiba hii ?

Wasalaam,
Natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom