Kati ya kitunguu na maziwa ya mtindi kipi hunukisha zaidi mdomo wa mtumiaji wake?

Huwa Natumia Kitunguu Swaum Hicho Kinauwezo Wa Kunukisha Mdomo Sana Kwa Harufu Yake
Unaweza Kutumia Saa Saba Mchana Hadi Usiku Wa Saa Mbili Harufu Ipo.

Maziwa Mtindi Kwa Upande Wangu Nadhani Baada Ya Kutumia Huchukua
Muda Mfupi Sana Kwisha Harufu Yake
 
Back
Top Bottom