Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,536
- 31,685
Jana yalianza maumivu ambayo naona leo yamepungua, ila nashangaa kuona uvimbe!!
Sijajua exctly kipi kimesababisha...ila juzi niliendesha gari kwenye rough road karibia 8km...kabla ya hapo nimeenda safari zenye barabara nzuri!!
Naomba kujua kama inawezekana huu uvimbe ni infections au ni mtikisiko tu wa gari!!
Naomba pia kujua dawa itakayonisaidia!!