Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 972
- 1,150
Wakuu, Salaam.
Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza.
Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe kuhusiana na Tiba hii kwa namna inavyofanya kazi,uhakika kama kweli inasaidia kuondoa maumivu ya mishipa mwilini ,na uhakika kama hakuna madhara yoyote utumiapo Tiba hii maana wanatumia Thermal Therapy, sasa wasiwasi wangu ni kuwa hakuna madhara yoyote ukitumia Tiba hii ?
Wasalaam,
Natanguliza shukrani zangu.

Last edited: