Kuna rafiki yangu ana irregular periods. Wakati mwingine anawahi i mean anapata period baada ya siku between 21-28 na wakati mwingine anachelewa mpaka siku 45. Sasa atajuaje ana ovulate? kwa sasa...
Kuna tetesi kuwa madawa yaliyokwisha muda wake yanaendelea kusambazwa katika mikoa ya Tanzania na yameanzia Morogoro, lengo ni kuendelea kuziuza ili kuongeza pato la taifa linaloonekana kuyumba...
hello everybody!
naomba kupata msaada wa mawazo, nime makelove na mr siku ya 13 baada ya MP, nilimsihi apizi nje na akasema amefanya hivyo, wacwac unakuja napata hajandogo mara kwa mara, je...
Wana JF naombeni mnijuze. Mimi nina kaa na mdogo wangu. Kwa sasa hivi ananiambia maziwa yake japo hayajajaa sana ila nipples zake zinauma.
Nimempima mimba kwa kutumia home testing kit hana. At...
Habari zenu binafsi bana...!
Wapendwa, nina swali kwa wataalamu wanijuze...!
Nimesikia kwa marafiki zangu kuwa mtoto akiacha kunyonya mapema kunaleta madhara kwa mama na hata inaweza kupelekea...
hali ni mbaya muhimbili, nimejaribu ku post thread naona imemezwa na threads nyingine zilizokuwepo, lakini ukweli ni kwamba damu inahitajika muhimbili na kwa wale wenye mapenzi mema mnaombwa...
Jamani wana jf doctor nisaidieni nisijekuwa kibogoyo.
ninatatiza la fizi kutoka damu hasahasa ninapopiga au nikiyanyonya mate kwanguvu mswaki.
pia meno yangu yoote ya sebuleni (ya mbele)...
Source: TanzMED
Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum.
Saratani ya matiti hutokea kwenye titi ambalo kwa kawaida lina...
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ujumbe wangu,lakini hili ni tatizo ambalo nimekuwa nalo maisha yangu yote tokea nianze kufanya mapenzi yapata miaka 20 sasa.
Tatizo langu ni kuchelewa sana kufikia...
Faida ya Mafuta ya Mzeituni
Olive oil's health benefits
The greatest exponent of monounsaturated fat is olive oil, and it is a prime component of the Mediterranean Diet. Olive oil is a natural...
It's a common thing to suffer from a runny nose especially when it is the cold and flu season.
However, if you are one of those people who are easily prone to allergies, chances are that you...
jamani kuna jambo kwangu linanitatiza sana !
jambo lenyewe ni kuhusu magonjwa ya zinaa!
kuna mshikaji wangu alikumbana na balaa hilo sasa akomba msaada nimsindikize hospital, tulipofika hospital...
Katika pita pita zangu nimekutana na kijana wa takribani miaka 20. Na katika kujenga nae mazoea akaniambia kuwa, amekuwa akiumwa kichwa kila mwezi unapoandama. Na kabla ya kichwa kuanza kuuma...
Wataalam naombeni ushauri wenu.
Rafiki yangu kameza kwa bahati mbaya 'kisoda' cha bia na kimepita ghafla kooni na kuelekea tumboni.
Je kuna madhara yoyote au kitatoka kwa haja asubiri...
Habari Wanajamii,Tafadhalini ndugu naomba mnijurishe dawa bora ya maralia kwa mtoto chini ya mwaka mmoja, ambaye ni mara yake ya kwanza kuugua maralia,ipatikanayo hapa nchini Tanzania...
Advice needed Please:
For a woman who is at her early 40ties, and has experienced some irregularities in menses (without good reason behind) though not very serious. No other symptoms such as...
Poleni na majukumu wakuu. Nina ndg yangu ana mtoto mdogo wa miezi 10, bahati mbaya amegundu ni mjamzito, yuko ndani ya ndoa na hana mpango wa kutoa mimba kwani ni dhambi kwa Mungu.
Swali lake, je...
Strokes are rising fast among young, middle-aged
Strokes are rising dramatically among young and middle-aged Americans while dropping in older people, a sign that the obesity epidemic may be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.