Madawa feki yasambazwa Morogogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa feki yasambazwa Morogogo

Discussion in 'JF Doctor' started by Inkognito, Feb 19, 2011.

 1. I

  Inkognito Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa madawa yaliyokwisha muda wake yanaendelea kusambazwa katika mikoa ya Tanzania na yameanzia Morogoro, lengo ni kuendelea kuziuza ili kuongeza pato la taifa linaloonekana kuyumba kutokana na serikali kuelemewa na mzigo wa madeni na fidia za kifisadi ikiwemo dowans.
   
Loading...