Kameza kifuniko cha bia, afanyeje?

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Wataalam naombeni ushauri wenu.

Rafiki yangu kameza kwa bahati mbaya 'kisoda' cha bia na kimepita ghafla kooni na kuelekea tumboni.

Je kuna madhara yoyote au kitatoka kwa haja asubiri.

kaingiwa na wasiwasi hivyo wataalamu toeni ushauri mapema tumsaidie.

ahsante
 
Poleni sana ila usisubiri msaada toka JF kwa issue kama hii, fasta mpeleke hospital and doctor atakwambieni cha kufanya.
 
Du!mwambie ale mapapai kwa wingi labda kinaweza kutoka.otherwise awahi hospital
 
Ni hospitali tu ndugu yangu kama walivyoshauri wengi, natumaini umeshamkimbiza hospital, hicho kisoda kinaweza kumziba njia ya chakula na hivyo akapata intestinal obstruction, wahini hospitali
 
Amefuata ushauri wa kumwona daktari. nadhani hakuna shida atapata msaada zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom