Karibia nakuwa kibogoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibia nakuwa kibogoyo

Discussion in 'JF Doctor' started by dfreym, Feb 4, 2011.

 1. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jf doctor nisaidieni nisijekuwa kibogoyo.

  ninatatiza la fizi kutoka damu hasahasa ninapopiga au nikiyanyonya mate kwanguvu mswaki.

  pia meno yangu yoote ya sebuleni (ya mbele) yanatikisika mmno kiasi siku nikijichanganya tu na kumchokoza bansa aka ni pa! mdomoni
  yote naya tema.
  yani yanatikisika mno kiasi hata nikitumia nguvu kungoa yanatoka.
  halafu yanauma. nisaidieni jamani.
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  umepima ukimwi?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  taratibu kijana...hilo sio jibu sahihi ...mm namshauri jamaa awe anaenda mara kwa mara kwa ma dentist
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  senks kwa jibu sahihi. ubarikiwe. aaamen!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umejiovadozi
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kuna siku nitakuja na brifkesi yangu ya afya ndio mtaelewa kwanini nimeuliza hivyo. unajua greti thinkaz tupo wachache sana hapa JF, hata 10 hatufiki.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Chunguza miswaki unayotumia, mingine ni migumu inakwangua.
  Usile vitu vigumu vitakavyokubidi ung'ate eg muwa.
  Angalia na dawa za mswaki unazotumia.
  Mswaki nashauri utafute wisdom halafu dawa nunua ile ya forever living product.
  Pole ila uende kwa dentist.
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  chukua hiyo sentensi yako nyekundu hapo halaf changanya na kutoka ma damu midomoni na kaulizie namna ya ukimwi unavyoambukizwa uswahilini halaf rudi kwenye post No.2 by klorokwini katika hii sredi. can you feel the great thinking now?
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wapo 10.5 mhadhiri wangu wewe ndio wa point five. Ha ha ha!
  Fanya haraka nakusubiri kwenye kipindi.
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  heheeh nakuja acha nibebe chaki langu
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  khaaa!
  Kwahiyo uswazi wana namna zao tofauti za kuambukizwa ukimwi.
  Lol!
  Haya mpe klorokwin na asprin huyo mgonjwa apone.
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  leo sitaki lichaki lako.
  Unaandika moja kwa moja kwenye daftari.
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  acha niishie hapa. nikiendelea na darasa hapa nitaharib kibarua cha Dr Ndodi
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ina maana nikuje na ka penseli tu? khaaa! kakikatika kwa bahati mbaya?
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  afadhali maana nilikuwa nahisi kizungu zungu.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hakakatiki utakashika vizuri. Sawa eeh?
  Kichongeo kipo.
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kachongeo kana makali? sio kabutu? haka kapenseli kenyewe jana nimekaandikia mpaka kamepoteza ncha
   
 18. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kacheki ngoma mkubwa!!!!
   
 19. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu.

  Uwezo hupo mkuu wa kuokoa meno yako ufanye maamuzi haraka sana.


  Nenda kwa daktari wa meno wa safishe meno.unatoka damu kwa vile fizi zako azipumui na zimevimba.unatakiwa kwenda kwa daktari wa meno kusafisha japo mara moja kwa mwaka.

  Baada hapo wewe binafsi inabidi upige mswaki mara mbili kwa siku kila baada ya mlo tumia mswaki laini.tumia mswaki wako laini kukanda fizi zako taratibu kila ukipiga mswaki.kitu kingine muhimi ni kutoa vyakula vilivyo nasa kati kati ya meno (flossing).kwa vile fizi zimevimba kwa sasa inabidi baada ya yote hayo huwe unasukutua na maji ya chumvi ya vugu vugu kila baada kupiga mswaki.piga mswaki kabla kwenda kulala na usile kitu kingine unaweza kunywa maji.


  Ukifatisha yote hayo mkuu na atakayoongezea daktari wa meno hutopoteza meno yako na wala kuona tone la damu wakati wa kupiga mswaki.
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Wakuu tumsaidie.
  Huyu atakua amekosa vitamini flani na sio hayo maukimwi yenu.
   
Loading...