Naomba ushauri wa kitaalam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri wa kitaalam

Discussion in 'JF Doctor' started by Aine, Feb 11, 2011.

 1. A

  Aine JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Poleni na majukumu wakuu. Nina ndg yangu ana mtoto mdogo wa miezi 10, bahati mbaya amegundu ni mjamzito, yuko ndani ya ndoa na hana mpango wa kutoa mimba kwani ni dhambi kwa Mungu. Swali lake, je mtoto amuachishe kunyonya au aendelee kumnyonyesha hadi mimba ikiwa na miezi mingapi? Na je kuna madhara yoyote mtoto anapoendelea kunyonya? Maziwa yanatoka kama kawaida
   
 2. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nukushukuru sana sana ndg yangu, be blessed
   
Loading...