mbegu za kiume

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
6,808
14,148
jamani naomba kuuliza,ni vyakula gani vinasaidia kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
 
Supu ya pweza au juice ya tende changanya na maziwa mgando kama yale ya Tanga Fresh Mtindi.
 
Jaribu, pine nuts ni expensive lakini ina-worth kutumia.
mimi natumia sana na nimeona faida yake.

others:

majani ya celery, ndizi, almonds, mayai, asparagus
nyingine sea food, oyester/chaza mbichi usizipike. pweza.
 
Kula vyakula ambavyo ni good source ya protein ,mayai ya kuchemsha, nyama, maziwa fresh changa na asali, ongeza uji wa soya au kunde. Supu ya samaki ,maharage. Pia tumia natural juices usichanganye matunda zaidi ya matatu,kula carrots, avocado muda ambao tumbo liko empty.
 
Mini sina comments but nauliza eti mbegu za kiume zinanenepesha wanawake?
 
Nilifikiri unatafuta mbegu za kununua
mine 4-5 million depends na maelewano twaweza shuka kidogo..nakupa biashra tufanye kazi tumekalia uchumi wenyewe...ntafutie soko
 
mini sina comments but nauliza eti mbegu za kiume zinanenepesha wanawake?

mmmhh inategemea unakula milo mingapi kwa siku kama miwiili and below kazi ni kubwa sana kunenepa lakini ukijitahd hata 2.5 nk kauwezekano kapo kidogo,..nakuhakikishia
 
Kunywa pia maziwa ya ngamia, japo ni adimu kupatikana ila ni ghali kidogo.
 
Mini sina comments but nauliza eti mbegu za kiume zinanenepesha wanawake?


Kunenepesha kwa njia gani hasa? Maana siku hizi kuna njia nyingi zimekuwa modified katika zoezi hilo..
 
best kula kachumbari yenye mchanganyiko wa karoti ,vitunguu maji kwa wingi,hoho. Na pia penda kutafuna tembe mbili za kitunguu swaum kila siku, Kwa muda wa one week.

na pia tafuna korosho, kunywa maziwa ya mgando na usifanye kila siku hazita kuawa nyingiiiii.
 
Kunenepesha kwa njia gani hasa? Maana siku hizi kuna njia nyingi zimekuwa modified katika zoezi hilo..

Nimeuliza maana ninawashangaa wanaoniambia kwamba mbegu za mumeo zimekukubali. Kisa nimeongezeka sana toka nimeolewa. Nimeolewa miezi minne ilopita.Though not pregnant but meongezeka. Sasa nimewasikia watu wengi wakiniambia hivyo. Nawashangaa kweli ndio nikasema niulize
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom