Nipples kuuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipples kuuma

Discussion in 'JF Doctor' started by Truly, Feb 17, 2011.

 1. T

  Truly JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF naombeni mnijuze. Mimi nina kaa na mdogo wangu. Kwa sasa hivi ananiambia maziwa yake japo hayajajaa sana ila nipples zake zinauma. Nimempima mimba kwa kutumia home testing kit hana. At the same time ana experience spotting period( i mean damu ya mwezi inatoka kdg kdg) kwa sasa siku 21 zimepita hiyo spotting bado ina exist. Nashindwa hata kuelewa. Hebu nisaidieni ndugu zanguni wana JF
   
 2. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mpeleke hospitali akaone wataalamu, hizo spotting pia linaweza kuwa tatizo
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Truly,
  Huyu mdogo wako alishakuwa mwari kabla ya hali hii ya sasa?
  kama alikuwa bado hajavunja ungo basi ndio anaingia sasa na pengine imeanza vibaya. Kama alikuwa tayari ni mwari kabla ni vyema umpeleke kwa daktari,mupate ushauri wa kitaalamu bila ya kumchelewesha.
   
 4. T

  Truly JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Sio mwali ameshavunja ungo siku nyingi. Ana miaka 24. Nipples zinauma, frequent urination [ hana UTI) yaani kama ana dalili za mimba lakini mimba yenyewe hana.
  Sasa spotting imehit siku ya 22 sasa bado ipo tu.
   
Loading...