Kuna rafiki yangu ana irregular periods. Wakati mwingine anawahi i mean anapata period baada ya siku between 21-28 na wakati mwingine anachelewa mpaka siku 45. Sasa atajuaje ana ovulate? kwa sasa anatamani mimba.Katika miezi mitatu ilopita periods zimekuwa 45 cycle lakini wakati mwingine zinabadilika.
Any ushauri please
Any ushauri please