EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
jamani kuna jambo kwangu linanitatiza sana !
jambo lenyewe ni kuhusu magonjwa ya zinaa!
kuna mshikaji wangu alikumbana na balaa hilo sasa akomba msaada nimsindikize hospital, tulipofika hospital baada ya vipimo ilionekana ana tatizo la UTI akapewa dawa akzitumia lakini uponyaji ukawa f !
baadae akaenda hospital nyingine kuchukua vpimo akaonekana ana gono !
swala ilo lilimchanganya sana akaona bora aende hospital nyingine ajue hospital ipi ilikua sahihi lakini nako huko alipewa majibu tofauti!
hospital alizotumia ni kubwa kama mbeya rufaa agha khan
hospitali ya mkoani mbeya !
dispensary ndo usiseme lakini kutambua nn kimsumbuacho ndo ilikua tatizo mpka leo kiasi kwamba amekata tamaa kabisa!
swali langu je hospital inakuaga ngumu kutambua aina za magonjwa haya yakiwa machanga !
vile vile naomba nijue kama kuna dawa ambayo hutibu magonjwa hayo kwa ujumla bila kubagua ila isiwe ya kienyeji !
ajuaye anipe msaada !!!!!!