Damu ya dharura yahitajika Muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Damu ya dharura yahitajika Muhimbili

Discussion in 'JF Doctor' started by Mganga wa Jadi, Feb 17, 2011.

 1. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hali ni mbaya muhimbili, nimejaribu ku post thread naona imemezwa na threads nyingine zilizokuwepo, lakini ukweli ni kwamba damu inahitajika muhimbili na kwa wale wenye mapenzi mema mnaombwa kwenda kusaidia ndugu zetu walio kwenye janga hili ambalo sio la kujitakia.
   
Loading...