Msaada wakuu..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu..!!

Discussion in 'JF Doctor' started by St. Paka Mweusi, Feb 14, 2011.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ujumbe wangu,lakini hili ni tatizo ambalo nimekuwa nalo maisha yangu yote tokea nianze kufanya mapenzi yapata miaka 20 sasa.Tatizo langu ni kuchelewa sana kufikia kilele wakati wa majambo mpaka inafikia mwenza wangu analalamika kwa muda ninaotumia.Kwa kawaida ile first round huwa natumia dk 30 na kuendelea wakati mwingine nafika mpaka 45.Niliwahi kwenda hospitali muhimbili nikamuona mtaalamu akanieleza kuwa huo sio ugonjwa ila nishukuru kwa kubarikiwa maana wengine ni kinyume.Nikamuona tena dokta katika nchi moja ya Ulaya magharibi yeye aliniambia anataka kuhakikisha ndio ataweza kunisaidia,nikakimbia.Sasa kwa imani niliyonayo hapa JF nina uhakika hakuna linalokosa majibu,na ninaomba kwa heshima na taadhima mwenye ufahamu wa kuweza kumfanya mwanaume awahi kidogo anisaidie ili niondokane na adhabu hii niliyonayo.Natanguliza shukrani zangu.
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Naona wewe hata huelewi. Soma na tafakari tena na tena ushauri wa huyo dokta..

  Kila mtu anakushangaa jinsi unavyotaka kuharibu novel trait..Ungekuwa mmea ingebidi ukae kwenye green house yenye ulinzi 24/7 kama faru wa Serengeti.

  Hata hivyo utaelewa maana siku ukionja adha ya upande wa pili. Naona unahamu kama ya mbuzi kutamani kuwa kondoo!

  Best wishes,

  Babu DC
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmmmhhhhh:twitch::twitch::twitch:
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Haya wadau kazi kwenu maana mlikuwa mnashughulikia yule wa sekunde tatu (voda fasta) ili angalau afikishe japo dk1.

  Mwenzetu Mtakatifu PM anataka spidi gavana, sijui alitumia mkuyati kupitiliza!!!

  Ushauri wangu wala usipunguze, kama hujaoa tafuta mdada mwenye pumzi kama wewe ili ukipiga 45min anakwambia kwa sauti ya mahaba "mbona umemaliza haraka hivyoooo". Huyo atakupa morali ya kupafomu even better.

  Wasi wasi wangu ni pale utapewa dawa badala ya ku-regulate ukajikuta hali inakuwa kinyume chake.
  Mshukuru Mungu kwa kile ulichonacho yatosha.
   
 5. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,660
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Du! Paka 30 to 45 min! samahani kwa kushangaa huku nikiwa sina ushauri. Natumaini humu msaada lazima upatikane.
   
 6. G

  Gathii Senior Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Paka pilipili wakati wa ku-do.
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duuuuuu!!!!
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hilo la nusu saa mpaka 45 mins ni another story lakini...

  Hili usimchoshe mwenza wako mnaweza mkaongeza muda wa foreplay akuchezee wewe mpaka uwe ready kabisa na yeye hii itamfanya awe ready....am sure hii itasaidia sana ku-avoid michubuko na maumivu....

  Thanks and Happy Valentine Mkuu
   
 9. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu,

  Naungana na Daktari huo sio ugonjwa,na penda kukuuliza kaji swali je wewe umeoa,na kama hujaoa hilo tendo unaiba ndio maana hupati muda wa kutulia na mwezi wako wa kufanya romance,iliuwe tayari,kwa hiyo unatatizo la kisaikolojia.Hofu,maishaka,maana tendo la ndoa lina mahusiano na akili,pia weka mawazo yako kwenye hiyo shughuli,uziwazie mambo mengine.Vinginevyo kukaa kwa muda mrefu kunasababisha michubuko then MAAMBUKIZI ya UKIMWI
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Masihara hayo...............
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sema mama............
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  The Following User Says Thank You Hundred Times to Dark City For This Useful Post:

  St. Paka Mweusi (Today) ​
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu hiyo nimeshajaribu lakini haijawahi kunisaidia..........
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhhh :coffee:
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sema nikusikie basi mama,mbona waguna tu,Happy valentine day to you........
   
 16. LD

  LD JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Eti uweke pilipili, ha ha ha!!!
  Lakini hiyo ya VOICE nahisi ni nzuri pia.
  Ningekuwa mi ndo St. Pakamweusintino wako ningeitumia vizuriiiiiiiiii!!!
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Bila samahani na usinishangae mama ndio majaaliwa yangu hayo............
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Usihofu mama kwani siku hazifanani...........
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Michelle,we si huwa unatoa ushauri mzuri sana kwa watu wenye matatizo sasa mbona hapa umetoa mshangao tu???
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama unatumia 45 minutes am sure foreplay ikiwa 40 mins lazima itasaidia.., yaani foreplay ya ukweli na sio
  Hello......... :popcorn::popcorn:.........see you later
   
Loading...