msaada pls. Hapa itakuwa imeingia?

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
hello everybody!

naomba kupata msaada wa mawazo, nime makelove na mr siku ya 13 baada ya MP, nilimsihi apizi nje na akasema amefanya hivyo, wacwac unakuja napata hajandogo mara kwa mara, je ntakuwa nime consive?

Msaada pls
 
Hivi unahakika gani kuwa kumwaga nje kunamaliza mbegu zote hata zile zinazokuwa zinatoka taratibu bila spidi kubwa.
Mf.

Ukifungua maji kwenye bomba huwa yanatoka kwa nguvu, but ukifunga kuna mengine yanakuwa yanadondoka taratibu hadi yatakapakwisha.
Kwa hiyo nahisi kuna ka-anko kana develop.
 
Pregnant test kanauzwa 1000Tsh, mkojo wa kwanza kabisa asubuhi ukishakojoa unakatumbulkiza kidogo na baada ya muda unajua kama umenasa au la
 
Hongera Mwanangu,ndo ukubwa huo.You know what?katakuwa ka kiume.HONGERA mwanangu,hongera,na mimi hongere,hongera,Mama uchungux2 nyamala mwan.....
 
Unavyoonekana hukuhitaji ka uncle ndo maana ukasema akojolee nnje... sasa wahi the killerhospital aka Mwananyamala..
they have a solution for you..
 
asanteni kwa ushauri wenu, naufanyia kazi. Ujue ni leoleo ntaweza kuona ktk hicho kipimo lol
 
roselyne hakika nilimuona kapizi nje, wasiwasi ni ileee mm kwenda haja ndg xkwax
 
Lady G, pole kwa usumbufu unaoupata,
Kwenda haja ndogo mara kwa mara si dalili ya mimba, ingawa mimba ikiwa kubwa utakuwa unakwenda haja ndogo mara nyingi kwa sababu uterus inapokuwa huwa inakandamiza kibofu cha mkojo na hivyo kupunguza capacity yake, so mkojo kidogo kibofu kinajaa kwa sababu kimekuwa kidogo na hivyo utakwenda chooni mara kwa mara, lakini sio dalili ya kwanza ya mimba.

Sijui umekutana lini na Mr wako lakini a week after conception kile kipimo cha mkojo (UPT) huwa kinakuwa positive. Hivyo kama una wasi wasi check kwa UPT.

Dalili za mwanzo za mimba ni kichefuchefu ambacho huambatana na kutapika hasa nyakati za asubuhi (Morning sickness), pia utakosa hamu ya kula au utakuwa unachagua sana aina ya vyakula, mbali ya hapo ile sehemu nyeusi inayozunguka chuchu (areola) itakuwa nyeusi zaidi kuliko kawaida, utapata mstari mweusi katikati ya tumbo chini ya kitovu (linea nigra), hizi ni chache ya dalili nyingine.

Natumaini umenielewa, utakuwa na mimba kama tu hizi dalili unazo na kucomfirm ni lazima ufanye hicho kipimo cha UPT au Obstetric Ultrasound (vaginal ultrasound).
Kwenda chooni mara nyingi huwa ni dalili ya uambukizo kwenye njia ya mkojo (Urinary Tract Infection) na hasa kama inaambatana na maumivu wakati wa kukojoa (dysuria).

Njia ya uzazi wa mpango uliyoitumia (coitus interruptus), sio njia nzuri sana ya kupanga uzazi, most of the time inafeli, ni lazima mwenzi wako awe very much commited na wakati mwingine huwa ngumu hata kwa mtu ambaye yuko commited, si unajua utamu wa orgasm ni ejaculation within the vagina.
 
asante sana sana, kapotolo nimekupata kwa uzuuuuri sana. once again thanx all for advice.
 
Kuanzia kesho utahisi mabadiliko mwilini usikonde.

kwani ilikuwa TAMUUU SAAANA mpaka akashindwa kutoa nje?

halafu uko danger zone anagonga bila zana za kujihami au unapenda kavukavu usikie utamu eeh.:msela:

yote tisa lakini jibu utapata kwa kupima tu na kama ka -MR UNCLE kameganda ndio mipango ya mungu huwezi jua pengine ndio hakohako tu, hivyo nakushauri usikurupuke kwenda kutoa ni dhambi kubwa.
 
Sasa wewe Lady G ulitaka akojoe wapi wakati wewe umempa pakukojolea??yani mtu kaisha jichokea anataka kukaa ghafla kabla ajafika chini unasema inukainuka unadhani ataweza kuinuka?? lazima kwanza kiuno kiguse aridhi!!Kama uliona hivyo ungembadirishia MENU nyingine ili hata akikojoa pipa wasiwasi unakuwa hauna!!!!
 
MHHH!
Hamjawahi kupata mtoto? kama bado hamtaki? kama ndio mimba ya kwanza ilikuwaje?
FURAHIA KUPATA MTOTO MWAYA.
 
naungana na kakakiiza hapo juu,..
huwezi kuleta siasa za 'please kojoa nje' kwenye hii makitu
mtu unafanya mapenzi ili ukojoe in the first place sasa utaachaje kufanya hicho hicho cha msingi?
njia pekee ni kutumia condom tu..hata mimi ntakuahidi kukojoa nje lakini si rahisi sababu wakatu ukiwa kileleni akili huwa inakuwa nusu imetoka...
Pole na hongera kwa kuwa mama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom