Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Dear Doctors and Knowledgeable Members :D, good Morning!! My one month old son has undergone circumcision. To tell you the truth it was done while I was out for a walk because my mother-in-law...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Naomben msaada wale wapumbavu wanaoendekeza mizaha naomba msichangie.
0 Reactions
33 Replies
16K Views
habari zenu wana jf shida yangu kubwa ni kwamba nina siku tatu kila nikila chakula si asubuhi nikinywa chai au mchana pia hata usiku napata maumivu makali ya tumbo pia linavuruga sana na...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nataka kufahamu kama mtua atapata kidonda katika kichwa chake cha uume n nini kinasababisha .
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Nimeona niwamegee kidogo wanawake juu ya matunda muhimu ya kula wakati wa ujauzito. Papai ni tunda ambalo mwanamke mjamzito hatakiwi kulikosa angalau kwa siku mara moja. Usiache kutumia matunda...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Am i pregnant??please help...!!!!nipo katika kipindi kigumu sana niko katika mahusiano ambayo toka mwanzo tulikubaliana kabisa masuala ya kupata mtoto ni mpaka tuwe tayari na kwa muda wote...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mama yangu alikuwa na maumivu makali kwenye goti, alivyokwenda hospitali MOI aliambiwa kuwa fluid ambayo huwa inakuwepo kwenye goti ili kuzuia msuguano wa mifupa imekwisha, hivyo solution pekee ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
heshima kwenu wakuu?? Mim nimekuwa member mzuri sana kwa kufuatiria thread za wadau hapa jamvini na kila coment wachangiazo wadau humu ASALI lazima itahusika. Kiukweli walio wengi hugaramikia...
6 Reactions
21 Replies
7K Views
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia...
2 Reactions
27 Replies
13K Views
Heshima kwenu Dr wa JF, Mimi ni msichana wa miaka 20, ukweli namshukuru Mungu ameniumba vizuri sana! Ila ninashida moja! nimepoteza sana uwezo wa kusikia! Masikio yangu hayatoi usaha wala nini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kwa heshima yenu naomba mnisaidie kuirudisha furaha ya mchumba angu ilopotea tangu aanze kusumbuliwa na tumbo. Tulifuatilia hospital wakatuambia dawa ni kumtandika MIMBA Ndo atapona! Tatizo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mdogo wangu amekuwa akisumbuliwa na tatzo la mapigo ya moyo kwenda mbio kumbe ni Hbp. Na mpaka sasa imemuathiri upande mmoja kama kiharusi japo sio completely kwan anaweza kufanya kazi kama...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
habari wana jf doctor,mm nina tatizo kila nikifanya mapenz na mpnz wangu navimba uke kiasi kwamba siwezi kurudia raundi ya pili,na hata nikirudia anapokua anasugua nakua nimelowa sana tu,ila...
1 Reactions
37 Replies
16K Views
Nimekuwa na tatizo la kuteswa sana linapokuja swala kwamba naumwa mafua...hii imekuwa muda mrefu tangu niko sekondari. taitzo liliongezeka baada ya kuwa kila nnapougua malaria lazima iambatane na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
habari wadau, ni karibu mwaka sasa ngoz yangu pemben mwa macho imekua na vidot kama vipele vyeusi (kama vya mh mmoja hv). Kila siku vinazidi kuongezeka na nnakua na wasi sana. Naombeni kujua...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME A disease condition that every woman should know By Dr Fredirick L Mashili, MD. When it comes to appearance, women are often times more concerned with their looks...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jf Doctor. Mtoto wetu wa 7 amekuwa na tatizo hilo kwa muda mrefu sasa ambapo awali hatukujua kimachomsibu ila tuliona anapata tatizo la kuumwa tumbo kila wakati tukienda kwa Doctors wanamchek na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom