Is it possible...?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it possible...??

Discussion in 'JF Doctor' started by Shixi889, Oct 16, 2012.

 1. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Am i pregnant??please help...!!!!nipo katika kipindi kigumu sana niko katika mahusiano ambayo toka mwanzo tulikubaliana kabisa masuala ya kupata mtoto ni mpaka tuwe tayari na kwa muda wote tunatumia kinga.Na toka nikue sjawai kumiss period but mwezi huu mpaka sasa nimemiss period kwa siku kama 5 ivi sasa sielewi tatizo hapa ni nini is it possible nina mimba??but how??hata kama ni kweli nitaeleweka kweli hapa??

  Please!!!!help!!!!
   
 2. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nenda ukapime.
   
 3. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Unapofunga kibwebwe kiunoni lazima ujue kucheza mdumange, siku hizi mtu unaweza kujipima ukimwi, mimba na hata malaria bila kwenda hospital. nenda kwenye Pharmarcy wambie wakuuzie pregnant test inauzwa buku tu, utaelekezwa jinsi ya kuisoma kisha utagundua kama umenasa au la!
   
 4. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Asante kwa ushauri mkuu ntafanya hivyo but nimekuja jamvini kusaka ushauri zaidi maana it cant be possible inakuaje niwe preg wakti always natumia kinga??
   
 5. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  SHIXI889; Sikiliza, suala la kusema kuwa umetumia kinga si la uhakika kwa asilimia 100! No. Ndio maana wanakwambia kuwa kama kinga hujaitumia kikamilifu uwezekano wa kupata magonjwa/mimba ni mkubwa. Pia kumbuka kuwa mwenye ukweli juu ya hili ni mwanaume wala si wewe.
  Mara nyingi mwanamme akiona mpenzi aliyenaye ni mtata wa kutaka kujifanya mtakatifu zaidi lazima atafanya kila awezalo akukomoe. Yawezekana yeye alijua anachokifanya na wala hiyo si bahati mbaya. ila sitaki kuwachonganisha ukamchukia, lijadilini hilo.
   
 6. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kapime na ki pregnant test mwaya,afu ndo tutajua jinsi ya kukuelekeza,maana hapa huna uhakika kama una mimba,n smtyms menstruation hua inachange sana tuu,kwa kila mwanamke,chakufanya kapime kwanza,af km unayo rudi jamvini for more elaborations,sawa mama
   
 7. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  oldd vampire asante ntafanya hivyo...!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,616
  Trophy Points: 280
  subiri wiki moja baada ya siku uliyokuwa ukitegemea Period yako, halafu pima mimba kwa hiyo Preg test
   
 9. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Trust me kwa swala la mtoto tulijadili kwa kina and i know him sio mtu wa kubadili msimamo kiasi hicho anyway!!!!gec i will do preg test thn after hapo ndo nimface!!!
   
 10. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Its almost a wik sasa.
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama kunadawa zozote unatumia sometimes hukatisha period.........
   
 12. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hakuna dawa zozote nazotumia isitoshe nina muda mrefu sana sijatumia dawa za aina yoyote!!!!
   
 13. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  unaposema unatumia kinga unamaanisha Condom au? kama ni ndio, jamaa yako akirusha cha kwanza anabadilisha Condom au anaendelea nayo?? pia huenda kama ni condom kuna siku ilipasuka na hakukuambia.......
   
 14. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Yes ni condoms and ofcoz anabadilisha condom az ni lazma kufanya hivyo...!!labda kama kweli ilipasuka na akaamua kukaa kimya!!!
   
 15. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  wapi Lerionka wa Lekakeny?!!
  njoo ujibu if is possible to possibilize the mabosity
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,695
  Likes Received: 8,230
  Trophy Points: 280
  Hahaha bhikola umenikumbusha mbaliiii...

  eniwei shixi log off nenda pharmacy njoo tupe majibu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Just relax mimba sio ugaonjwa mama.....
   
 18. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Shixi889, kuna mambo kadhaa yanaweza kusababisha kuchelewa kwa hedhi...kuwa mjamzito ikianza na vingine vikifuatia kama vile

  -Msongo(Stress and Anxiety)
  -Kutumia dawa(za aina mbalimbali hasa za uzazi wa mpango)
  -Kupungua uzito sana au kuwa na uzito kupita kiasi
  -Mazoezi makali sana ya mwili(excessive exercise)


  njia rahisi ni kupima vichochezi(hormone) katika mkojo yaani b-hCG, hivyo unaweza kutumia hii kwa kununua katika Duka la Dawa ukiulizia UPT(Urine Pregnancy Test)..fuata maelekezo ya UPT,utatambua kama u mjamzito au la!
   
 19. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu ntafanya hivyo...!!thou sababu ulizotoa hapo juu sio fact kwangu!!!
   
 20. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Najua si ugonjwa na najua watu wengi wangefurahi sana kama wangekua kwenye situation kama yangu.But its just that kwenye malengo yangu to have a baby ilikua bado thats y napata tabu kidogo sitaki mtoto wangu aje kwenye dunia hii apate tabu whl nkijipanga hawezi pata shida yoyote!!!!
   
Loading...