dawa kiboko ya JF doctor hii hapa pata tiba hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dawa kiboko ya JF doctor hii hapa pata tiba hapa

Discussion in 'JF Doctor' started by LEGE, Sep 25, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  heshima kwenu wakuu?? Mim nimekuwa member mzuri sana kwa kufuatiria thread za wadau hapa jamvini na kila coment wachangiazo wadau humu ASALI lazima itahusika. Kiukweli walio wengi hugaramikia maelfu kuweka security systerm na hata yale makampuni ya ulinzi kwaajili ya kuwalinda na vibaka ,wadokozi,wezi,majangiri na majambazi na kumsahau mlinzi huyu malidadi ASALI. Sasa mlinzi kinga na tiba ya maladhi mbalimbali na hata yale sugu na wale wenye matatizo ya nguvu za kiume pateni kinga,tiba kwa bei nafuu. Ipo asali mbichi ya nyuki wakubwa naiuza kwa lita sh 10,000 tu kwa reja reja na sh 8000 kwa jumla. Hata ukihitaji yenye masega yake ambayo haija kamuliwa nayo ipo. Mim napatikana mwenge dar es salaam kwa mawasiliano zaidi 0717 228064.
   
 2. K

  KALENDA Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Tangazo lako zuri.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu LEGE kabla ya kuinunuwa hiyo Dawa Ya JF. Asali tutaicheki je ni Ya Ukweli Orignal au ni Asali Feki?

  Jinsi ya kuijua asali original

  TUNAFAHAMU kwamba asali ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binaadamu, lakini watu wengi

  wamekuwa wakipigwa kwa kuuziwa asali feki, sasa leo nimeona niwape darasa wanunuzi wa asali ili wasiweze kununua asali feki.


  Maana sehemu nyingi Jijini Dares-Salaam haswa Kariakoo, wafanyabiashara wamekuwa wakiuza Asali ambayo haina ubora kwa kuchanganya maji na sukari guru.


  Njia ya kwanza, chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, ujue hiyo ni asali kweli.


  Njia ya pili, dondosha asali chini katika mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana ikijikusanya pamoja ujue hiyo nii asali orginal.


  Njia ya tatu, Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili, ujue hiyo asali safi na inafaaa kwa matumizi ya binaadamu.


  Bado kuna njia nyingine ambayo hutumiwa na baadhi ya watu, kama vile kuimwaga katika kiganja cha mkono wako, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri.


  Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho.


  Nadhani hutaibiwa tena kwa kuuzia asali feki. chanzo:MziziMkavu

  Haya Wabongo Nendeni kwa mkuu Lege mkaiangalie hiyo Asali yake kisha muje hapa munipe Feedback
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Uchambuzi yakinifu huu.....!!
  Je utajuaje kwamba ni asali ya nyuki wadogo na wakubwa.....?
   
 5. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Baishara matangazo LEGE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  mkuu Kimbweka Nyuki ni nyuki wakiwa ni wakubwa ni nyuki wakiwa ni wadogo ni nyuki ili mradi watoe Asali Safi. Kwani nyuki mdogo hawezi kukutafuna Mkuu Kimbweka?
   
 7. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ..tahadhari kwa watumiaji wa nyuki; ni vema kubaini maeneo ilipovunwa hiyo asali. Asali iliyo safi kwa matumizi ya mezani iwe ile inayotoka katika maeneo mbali na shughuli mbalimbali za kibinadamu ikiwemo kilimo kinachotumia kemikali; pia kilimo cha mazao kama tumbaku. Vinginevyo asali hiyo bora ikatumika katika shuhguli za uzalishaji wa mazao au bidhaa za viwandani zaidi.
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimewahi ambiwa Asali ya nyuki wadogo na Nyuki wakubwa zina tofauti...!!!
  Na nyuki wadogo mara nyingi hawang'ati.......!!
   
 9. C

  Concrete JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kweli nimeamini JF ni chuo cha Mafunzo, Kitivo cha uchambuzi, Idara ya Utafiti, Ukumbi wa mawazo.

  Hiyo shule iliyomwagwa hapo juu namna ya kugundua asali iliyochakachuliwa au feki nimeikubali.

  Sasa ngoja nikaitumie....
   
 10. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  lakini nackia (sina uhakika) kwamba asali ya nyuki wadogo ina tofauti na ya nyuki wakubwa... na kwamba ya nyuki wadogo ni aghali zaid kuliko ya nyuku wakubwa. na ina manufaa zaidi... walichukuliaje hili mkuu mzizimkavu?
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nakushukuru Mzizi Mkavu kwa Darasa ulilotoa.. Naomba ujibu hili swali ili kutuongezea ufahamu zaidi....

   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani akuna aliyenunua atupe feedback ya asali hii? mm nataka kwenda kununua
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu drphone nenda kanunuwe Asali kwa mkuu.@LEG mkuu LEGumeshauza asali yako?
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Njoo mkuu ununue tuu usitie shaka wafanyabiashara kibao hapa jijini huwa wanakuja kujumua hapa?? Zimebakia lita kama 150 hivi.
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Bado ipo mkuu na sasa tumeamua kuja na hii mpya kama kuna mtu atahitaji apate kitu pure kutoka mzingani utapata tuu.yaani unapewa asali ukakamue mwenyewe.maana bado ipo kwenye masega. Mkuu mzii karibu sana au sema utaletewa popote ulipo ila tu iwe ni ndani ya jiji la dar kama nje ya dar utachangia kidogo usafiri
   
 16. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  njoo tu mbona wapo wengi tuu??
   
 17. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu hii yetu ni pure ukitaka hata iliyopo kwenye masega ipo utaipata tuu.. Unauziwa ukajichujie mwenyewe
   
 18. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kila mtu atavuna kwa jasho lake mwenyewe-Huu ndio ujasili mali
  Mimi nilikuwa nahitaji na nitamtuma dogo aje kununua
   
 19. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mim naomba nitoe OFA kwa member 1 hapa jf ya lita 1 ya asali ili aje na feedback hapa jamvini?? Kama utanipigia sim OK au kama uta ni pm haina shida pia.
   
 20. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Ndugu kibweka asali ya nyuki wa dogo inatofauti na nyuki wakubwa,yenyewe huwa nyepesi kama maji maji pia ina ladha chachu chachu na rangi huwa tofauti kwa muonekano wake.Napia zingatia matumizi yake yasizidi miezi 6 toka ivunwe kwani inapozidi kukaa sana huchachuka zaidi na kuifanya kuwa na kiasi kikubwa cha kilevi!
   
Loading...