vidot kwenye ngozi pembeni mwa macho

Offline User

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
3,828
2,383
habari wadau, ni karibu mwaka sasa ngoz yangu pemben mwa macho imekua na vidot kama vipele vyeusi (kama vya mh mmoja hv). Kila siku vinazidi kuongezeka na nnakua na wasi sana. Naombeni kujua vinasababishwa na nn na nn matibabu yake. Asanten.
 
pole ndugu yangu , ni kama vile vya waziri wa Nchi mahusiano nini?
 
hahahaha hv bado vichanga na vinahesabika, kilianza kimoja now viko kama kumi hv pande zote... duh vya wale waheshimiwa viko level nyingine.
 
wasiliana na mheshimiwa waziri ujue vya kwake vilianzaje mkuu, usipowahi tiba unaweza kufanana naye .
 
haina noma mazee, pengine nkifanana naye nawezaukwaa uwaziri kama wake niwatishie wapinzani 2015... Ila huna ushauri mwingine wa kitabibu Dr.? Au Phd yako umeungia nn?
 
Mr. Kama una access na mtu ambae yuko nje mwambie akutumie Dermated hii ni cream vitapotea ktk siku 4 au 5 na havirudi. Pia hakutakuwa na kovu wala nini.
Samahani kama itakukwaza kuupata uwaziri.
Alternatively wewe google waweza pata mbadala vinaitwa moles au waweza tumia skin tags ktk search yako.
 
hapana mkuu mie nina Phd ya mambo ya Menejimenti na Utawala nimeona mdau hapo juu kasema ununue Dermated nipo nje ya Nchi nitaulizia dukani then nita ku PM soon naweza kukutumia mkuu kama nitaipata.
 
Nashukuru umenisaidia maana , hata mimi vinanianza usoni, ni vibaya sana kila kukicha vinaongezeka.
 
Mr. Kama una access na mtu ambae yuko nje mwambie akutumie Dermated hii ni cream vitapotea ktk siku 4 au 5 na havirudi. Pia hakutakuwa na kovu wala nini.
Samahani kama itakukwaza kuupata uwaziri.
Alternatively wewe google waweza pata mbadala vinaitwa moles au waweza tumia skin tags ktk search yako.
asante sana mkuu. Ntajitahidi kulifuatilia hilo... Manake uhandsome wangu utapotea hv hv! Ila uwaziri ntaupata tu haijalishi ninavyo au sina. Hahahah
 
hapana mkuu mie nina Phd ya mambo ya Menejimenti na Utawala nimeona mdau hapo juu kasema ununue Dermated nipo nje ya Nchi nitaulizia dukani then nita ku PM soon naweza kukutumia mkuu kama nitaipata.
asante Dr. Nitashukuru kwa msaada wako.
 
Sidhani kama ni tatizo kubwa kiasi hicho. Ninavyo na nilishatafuta ushauri wa waatalamu wa ngoz lakini waliniambia niachane navyo maana siyo vyangu wakimaanisha ni mambo ya kurithi.
 
vilikuanza lini? Ukiwa na umri gani? Mimi ni chin ya mwaka sasa na naona vinazd kuongezeka, nina over 30yrs na sijawahi
kuona ndugu yeyote mwenye tatizo hili.
 
dogo acha utoz huko ndio kukuwa..na kwa taarifa yako ukigonga 50yrs ngozi itaanza kuota makunyanzi...ni vitu nya kawaida tuu...u-handsome unamipaka yake na kiume sio sura ni pesa...tafuta pesa kujazilizia u-handsome unaoanza kukutupa mkono...kwann usiwe kama mh. Zito kabwe...na ni kitu ndogo tu wala sio ishu.

Umenielewa kijana?
 
Of course vichukulie simple.Mimi wala huwa sijiulizi. Vilinianza ukubwani kwenye 22 years nadhani. Hata mimi sijaona mwenye navyo kwetu lakini inawezekana kwenye vizazi vilivyotangulia.
 
dogo acha utoz huko ndio kukuwa..na kwa taarifa yako ukigonga 50yrs ngozi itaanza kuota makunyanzi...ni vitu nya kawaida tuu...u-handsome unamipaka yake na kiume sio sura ni pesa...tafuta pesa kujazilizia u-handsome unaoanza kukutupa mkono...kwann usiwe kama mh. Zito kabwe...na ni kitu ndogo tu wala sio ishu.

Umenielewa kijana?
nmekuelewa mkubwa!
 
nmekuelewa mkubwa!

nashukuru kwa uelewa wako wa haraka kijana ...pia ongezea ujuzi huu wa hiyo kitu toka kwa ancient chinesse knwoledge regarding hizo kitu
 
Attachments

  • My Chinese Palm Reading.docx
    28 KB · Views: 60

Similar Discussions

Back
Top Bottom