Manii nyeusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manii nyeusi

Discussion in 'JF Doctor' started by happy amos, Oct 16, 2012.

 1. h

  happy amos Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,645
  Likes Received: 1,669
  Trophy Points: 280
  Duh..poleni. Najiuliza tu je umezionaje? Anatumia mpira/condom? Au ni kwa kuangalia zile zinazomwagikia nje baada ya tendo?
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Duh! manii nyeusi???:photo::photo:
   
 4. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,609
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Shahawa nyeusi?? Mmmh! Anatafuna mikaa kabla ya Tendo? Au unampatia ukoko kwa sana?
   
 5. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,988
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 180
  Mgonjwa huyo. Hakuna kitu kama hicho. Amwone Daktari haraka sana.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  anatoa shahawa nyeusi halafu ametulia tu? Kwatuuuuuu?
   
 7. awp

  awp JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  maswali mengine yanasababisha watu tucheke kwanza, mdogo wangu hakuna shahawa nyeusi wala nyekundu, sanasana kama mumeo amekaa muda mrefu zile za kwanza zitatoka kama cream fulani hivi then unapata shahawa za kawaida ambazo ni majiji meupe (sio nyeupe kama karatasi) japo tunaziita nyeupe. mwambie mumeo aende hospitali
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,568
  Likes Received: 14,988
  Trophy Points: 280
  mgonjwa huyo usikubali akumalizie ndani hadi apone... shauri ya vicheche na nyumba ndogo
   
 9. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Ana ugonjwa wa zinaa huyo, Mwambie akimbilie hospitali haraka, anaweza kuwa hanisi hivihivi.
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Aende kwa daktari haraka sana....! Na uongozane naye wote mkapime...!
   
 11. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  happy amos mumeo anaumwa, mpeleke hospitali
   
 12. k

  karatta Senior Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usiogope,atakuwa na tatzo la kiafya mme wako,so mshauri mwende wote hospital,mm nilishawah kuugua ini nikawa natoa manii za njano lakin baada ya kupona ini zkarudia rang yake ya kawaida
   
 13. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Maajabu ! labda zinatokea upande wako
   
 14. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,952
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Mmh!! Embu jaribu kugoogle
   
 15. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kaishaukwaaaaaaaaaaaaa zinaaa tena asipoangalia ataanza kutoa za blue kabisa
   
 16. G.T.L

  G.T.L Senior Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Damu kwenye Manii(Hematospermia)
  Visababishi:- 1.Uvimbe/Mchubuko ndani ya tezi ya uzazi(Benign/Malignant tumors & Inflammation of the Prostate).
  * * * * * * * * * 2.Mawe(Calculi i.e Insoluble calcium compounds) ndani ya tezi ya uzazi na mirija ya manii(seminal vesicels).
  * * * * * * * * * 3.Maradhi mfano:- kichocho.
  * * * * * * * * * 4.Saratani ya tezi ya uzazi(Prostate Cancer).
  * * * * * * * * * 5.Kujichua(Punyeto) mara kwa mara(Prolonged sexual masturbation).
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,911
  Trophy Points: 280
  Mnhhh..dada yangu majibu mengine yanaweza kukuvunjia ndoa yako hapa au hata kukuondolea uhai wako kama presha, bp, shell na oilcom haviko mbali nawe... Jambo la msingi ni muende hospital mukapime kwa pamoja afya yenu ya uzazi na magonjwa ya njia hizo.

  Poleni kwa mtihani.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  at my age, this is new.

  Pole kwa maswahibu.
  Hapo ni hospitali tu, tena kwa wale wa mambo ya vizazi.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Rangi ya manii ni kama juisi ya ndimu. Ikiwa nyekundu au Nyeusi, huyo mumeo ana matatizo na amuone daktari haraka sana.
   
 20. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3,979
  Likes Received: 1,589
  Trophy Points: 280
  Wahi Hospitali fasta,hiyo siyo kawaida.
   
Loading...