Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

wale ndugu zangu wanye fangas sugu na miwasho isiyo koma,vipele,chunusi,ngozi ngumu kupindukia dawa hyo hpo chini find me ma email jembe86@gmail.com
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo nko soo restless cha ajabu siko bored kabisa kwa lolote sasa nini husababisha hili??na nini solution yake???
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF, Hivi ni kweli mwanamke anaweza kupata mimba akiwa na bikira hata kama haijaondolewa? mara ya mwisho binti flan aliniambia ana bikira nikajitahidi sikufanikiwa nikajikuta manii zinanitoka...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kama vagina yako ni ya moto sana je ni tatizo hilo? Inaamaanisha nini ikiwa ya moto?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TEL AVIV (Reuters) - Israel-based Neuronix, which has developed a non-invasive medical device to help to treat Alzheimer's disease, expects the system to be approved by the U.S. Food & Drug...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Jamani Ka-uncle kangu kanasumbuliwa na ugonjwa ambao mpaka sasa haujajulikana mahospitali, vituo vya maombi tumemaliza, nashawishika kuhamia tiba mbadala za asili na jadi.Mwenye kujua mganga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna wakati mtu unaweza ukajikuta unahisi mwili kama unaungua moto. Hii hutokana na nini? na ni namna gani ya kuweza kudhibiti?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF na Ma dr nawasalimu wote. Napenda kufahamishwa kuhusu baadhi ya dawa mfano Ampiclox umeandikiwa 1x3 ikiwa na maana asubuhi kidonge kimoja,mchana kimoja,na jioni kimoja.Kuna dawa za maji...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Pedi salama kwa wanawake utafiti wa kitaalamu unaonesha kwamba matatizo ya hedhi,kukoma kwa hedhi na vimbe katika kizazi yanazidi kuongezeka moja ya sababu ni matumizi ya pedi zisizo salama,pedi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wewe ni miongoni mwa wanaokosa raha kutokana na matatizo mbalimbali ya tumbo mfano gas, vimbe, mmeng'enyo mzima wa chakula kutokwenda inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kukosa choo kwa muda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wataalam mke wangu anasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu yaani linabana sana,je naweza kutumia dawa gani ili nimnusuru naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FOREVER BRIGHT TOOTH GEL Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inangarisha meno bila kuchuna...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Salama wakuu.ningependa kujuwa mathara ya kula mirungi na faida yake.niliwahi kula sana mombasa na wala sikuona athari zake kwa mm binafsi..sasa nataka niache uraibu wote nianze kula mirungi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf ? Kama mu wazima wa afya basi jina la bwana lihimidiwe ? Nakuja kwenu tuweze kubadilishana mawazo kuhusu tatizo linalonikabili ? Ni kwamba mwenzenu kila ninapokutana faragha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana jamvi heshima kwenu, mimi ninaumwa sana mwili mzima lakini kila nikienda hosp. Naambiwa hawaoni ugonjwa nimeshapima vipimo karibu vyote sasa imebakia kipimo kimoja tu lakini kinaniogopesha...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kukimbia au kutembea?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ten years ago, Lee Gardner was fine with forks. Heck, the UK man was so fond of the utensils, he even used to eat with them. That is, until his darkest forking hour. One day, BBC reports that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habar wakuu, nimeleta mada watalam watujuze
0 Reactions
22 Replies
18K Views
haya kwa wanaume hii ni habari njema ; 11th Annual American Association for Cancer Research (AACR) International Conference on Frontiers in Cancer Prevention Research
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii nilikuwa Muhi2 kumuona Mgonjwa Mwaisela4. Jirani yake yupo mama amelazwa kafungwa mikono na miguu kitandan nguo kifuani hana hawez kujihudumia baada ya Haja kubwa na ndogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom