wakuu habari zenu,
Niliwahi kusikia kuwa kuna mimba za kupandikizwa(mimba za chupa)
kama kuna anaefahamu hospitali yoyote hapa nchini kuna teknolojia hiyo tafadhali mnijuze.
Natanguliza shukrani.
habari zenu wanajamii..nina ujauzito wa miezi saba sasa,tatizo nililonalo kwasasa ni kuumwa kwa kitovu! kitovu huwa kinauma mara kwa mara! sio maumivu makali sana na hayachukui mda mrefu yanaisha...
Habari zenu wakubwa.
Mke wangu kajifungua jana saa 4 asubuh tatizo toka ajifungue maziwa hayatoki yan mtoto hajanyonya mpaka dakika hii, mama mtoto anaumwa tumbo kama la uchungu, nisaidieni kujua...
tatizo hili la ''hyperhidrosis'' linatatuliwa na dawa iitwayo DRICLOR kwa mwenye ufahamu hii dawa inapatikana PHARMACY gani hapa jijini DAR ES SALAAM anijulishe hapa au ka vp kwa SMS Kene...
Za jion wana Jf bila mu wazima,tumbo limekuwa likinisumbua dawa nimekunywa lakini shida iliyopo linakuwa linaunguruma kidogo na choo napata kwa shida sana na hapo ni mpaka nijilazimishe lakini...
Mdogo wangu sikio linamuuma, anadai akitafuna kitu anapata maumivu.
Anahis kuna kitu kinatembea na kwa kweli anahiis maumivu mpaka analia. Jana usiku hakulala kabisa, nimemnunulia dawa ya drop...
There is hope for Tanzanians with health complications related to prostate cancer, kidney stones and paediatric cardiology (heart complications among children) thanks to specialists coming in...
The Six Most Important Minerals and Vitamins!
When we diet and cut down our calories, we usually limit the intake of certain foods, which means we may not get all the vitamins and minerals...
kwanza nasema asanteni sana wataalam wote kwa kutupa tiba bure humu jf.
ndugu zangu mi nina tatizo la KUTOKWA NA JASHO SANA KWAPANI, hali hii inaninyima raha sana. Mwanzo nilikua natoa harufu ya...
niliwahi kusikia mara mbili au tatu kuwa mtu anaweza kuwa na +HIV na akasex na mtu aliye Negative bila kinga na kutopata maambukizi, inawezekanaje? am comfused
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa...
I
Vichangizi vya mwenedo mbaya wa maisha (lifestyle factors) ya kila siku kwa wanawake, huchangia wanawake kuacha kupata hedhi, hii ni kutokana na utafiti uliofanya na kituo cha utafiti wa...
Ugonjwa wa malale ambao kwa kitaalamu hujulikana kama Human African Trypanosomiasis au African lethargy au sleeping sickness na Congo Trypanosomiasis ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea...
Salaam wana JF.
Ningependa kujua, ni njia zipi naweza tumia, (bila DNA Test) ili nithibitishe kuwa mtoto ni damu yangu halisi.
Mwenye kufahamu hili anijuze.
Asante.
WanaJF naomba mnisaidie. Nataka kufanya DNA matching na watoto wangu, Wapi naweza kupata huduma hiyo hapa Tanzania, kwa utaratibu upi na gharama zipi.Asanteni kwa msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.