Unamatatizo ya nguvu za tumia dawa hii

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi.

Acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!
 
Dozi ni kidonge kimoja kwa wiki na bei inarange kati ya elfu nane na kumi kwa kidonge
 
sawa lakini haya madawa mbona nasikia watu wanasema kua ukishatumia ndio utekua umejimaliza kabisa maana itaondoka na hata kale kalikokuwepo
 
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi!acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!
taja japo phamacy 1 zilipo
 
hahahaaaaah biashara matangazo,
dawa ya nguvu za kiume iwapo zimepungua ni vyakula vya vitamini E, kama Ufuta, Maboga kwa gharama nafuu, hayo makemikali yatakufanya uwe tegemezi na mtumwa milele, labda kama huna kabisa hizo nguvu za kiume, lakini kama ni swala la kuboost, achana na takataka za viwandani, nenda vitu natural utawakimbiza mtaani kwenu warembo hadi wakukome , Heshima juu.
 
Kweli mkuu...
 
piga msosi vizuri, mlo kamili na safi. Pata kitimoto rost na bia mbili jioni. Jenga afya vizuri. Ndo dawa ya nguvu mkuu. Hayo machemical yawe kimbilio la mwisho.
 
Dozi ni kidonge kimoja kwa wiki na bei inarange kati ya elfu nane na kumi kwa kidonge

Ha! ina maana kama @wiki kidonge times 10000 kwa mwaka tsh 520,000/-? Jamani ushauri huu ni mzuri ila hiyo gharama mmmh....!
 
Vitu vya asili tumia lakini ujue itakuchukua mwaka na zaidi bora dawa na huku unatumia hivyo vitu vya asili lengo langu lilikuwa kuwasaidia wanaodanganywa na waganga feki na wanaliwa hela zao nyingi kwa dawa zauongo nyie hamuoni matangazo kila kukicha kila mganga anatibu nguvu siku hz!!!
 
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi!acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!
hiyo dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 inasaidia nini katika mwili wa binadamu? anayetakiwa kutumia ni nani Mwanamke au mwanamme?
 
hiyo dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 inasaidia nini katika mwili wa binadamu? anayetakiwa kutumia ni nani Mwanamke au mwanamme?

ni kwa wanaume tu inaharakisha msukumo wa damu kwenye paipu ili isimame na kumwagilia vizuri shamba uliloliandaa,inachangamsha neva zako mwilini na unakuwa veri sensitive ukiguswa kidogo tu paipu inanyanyuka tatizo la nguvu kwa wengi linachangiwa na ukosefu wa msukumo wa damu ya kutosha kwenye paipu inayosababishwa na matatizo kadhaa nipm nikueleweshe sasa hii dawa inafanikisha msukumo unaohitajika na kuponya tatizo!nadhani umenielewa je kuna aliyeitumia akatoa feedback baada ya kusoma hii post?
 
kuna jamaa kani PM kutoa ushuhuda kuwa tangu ametumia ameweza kusimama kwa miguu mitatu na kwenda raundi nne kwa usiku mmoja mwengine atoe ushuhuda wake hapa
 
kuna jamaa kani PM kutoa ushuhuda kuwa tangu ametumia ameweza kusimama kwa miguu mitatu na kwenda raundi nne kwa usiku mmoja mwengine atoe ushuhuda wake hapa

Mwambie aje hapa JF atoe mwenyewe huo ushuhuda na sio kumsemea mtu!
 
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi!acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!

dah! bahati mbaya sina namna ya kukuwajibisha lakini ulichofanya si sahihi hata kidogo, dawa huwa hazitangazwi hovyo kama wewe ulivyoandika na ndio maana hata ukisikiliza vipindi vya redio madaktari huzungumza ugonjwa, dalili, vipimo lakini itakapokuja dawa hawataitaja maana dawa na dose ziko individualized, aina utakayotumia wewe siyo nitakayotumia mimi, hali kadhalika dosi utakayotumia wewe siyo nitakayotumia mimi, maana japokuwa twaweza kuwa na tatizo moja lakini mwili wako ni tofauti na mwili wangu hali kadhalika severity of disease kwako ni tofauti na kwangu, sasa wewe hapo unapopromote hiyo dawa kisha mtu akaenda akajinywea hovyo akifa au akipata madhara itakuwaje?

social media ni nzuri lakini uncontrolled medical promotion and advertising ni mbaya sana, kwanza ni kinyume cha sheria kutangaza dawa kwenye vyombo vya habari ndio maana hujawahi kusikia dawa yoyote ikitangazwa gazetini au kwenye redio au tv, with exception of ALU, na hii ALU ilifanywa makusudi ili wananchi waielewe maana wengi walikuwa wakiikataa na pia ilifanywa kwa kuwa malaria ni disease of national interest na sio tatizo 'dogo' kitaifa kama impotence

pili hapo umefanya makosa mawili kwanza kutangaza tadalafil lakini mbaya zaidi unaitangaza LEVITRA kwamba ndio tadalafil lakini levitra ni VARDENAFIL, mimi ningekuwa ni mods ningeiondoa hii thread kwa sababu umefanya pharmaceutical advertising kinyemela kwa kuitangaza specifically LEVITRA, je wewe ndo agent wake hapa bongo? lakini pia umechanganya watu kwa kuwaambia levitra ndio tadalafil wakati levitra ni vardenafil

jamani tusipende kutumia madawa hovyo kwa kusoma kwenye internet, kusoma kutoka kwa watu laymen kama hawa bila kwenda hospitalini, ni hatari sana, especially hizi dawa za mitindo ya maisha, life style diseases sio nzuri kujinywea hovyo hovyo, na mwisho dawa za kuongeza nguvu za kiume ni HATARI sana kama una matatizo  katika mfumo wako wa damu( cardiovascular system).
 
Back
Top Bottom