Madhara ya shinikizo la damu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya shinikizo la damu

Discussion in 'JF Doctor' started by Oleni, Oct 12, 2012.

 1. O

  Oleni Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdogo wangu amekuwa akisumbuliwa na tatzo la mapigo ya moyo kwenda mbio kumbe ni Hbp. Na mpaka sasa imemuathiri upande mmoja kama kiharusi japo sio completely kwan anaweza kufanya kazi kama kawaida ila ni dhaifu na jicho la upande mmoja linapunguza uangavu afu ni zito kufumbua. Naomben ushauri jinsi ya kucontrol pressure yeye ni mwembamba hana mwili mkubwa, na pia jicho linaweza kuimprove au ndio bac tena. Plz naomben ushauri kwa dokta nmeenda ameniandikia tu dawa za kutumia
   
 2. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Pole sana Oleni, subiri wataalamu watakuja kukushauri.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana kwa huyu mdogo wako juu ya hayo matatizo yaliyomkuta umezungumzia mamambo mawili mapigo ya moyo na

  ugonjwa wa kiharusi? huenda huyo ndugu yako ana huo ugonjwa wa kiharusi lakini wewe umeshiklia mapigo ya moyo H.B.P?

  tukuelkewe vipi ndugu yako anaumwa kiharusi au anao ugonjwa wa mapigo ya moyo?Hujatuambia Mdogo wako ni mwaname au

  Mwanamke? ana miaka mingapi? matatizo hayo aliyokuwa nayo yana muda gani? ameshaenda kupimwa na kuonekana na kitu gani?

  dawa gani mara ya mwisho ulizopew na Daktari alizokuwa anatumiamgonjwa?Daktari amesemaje juu ya mgonjwa?
   
 4. O

  Oleni Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana umri wa miaka 19 mwanaume na hospital alpewa dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwani alpimwa presha ikawa 149/90, ila kama unavyojua hosptal za serikal unaandikiwa tu dawa bila ushauri. Mkuu tatizo ni hbp kwan hicho kiharusi kimekuja baada ya presha.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Oleni bado maelezo yako sijatosheka umesema umempeleka hospitali Daktari amakupa dawa pasipo na ushauri wowote ule sasa

  umejaribu kwenda Hospitali kuu ya mkoa hapo ulipo?Au kama upo Dar nenda hospitali ya Muhimbili kule kuna

  Watalamu wamfanyie uchunguzi ili wapate kujuwa ni nini chanzo cha
  maradhi yake mgonjwa wako kisha uje hapa utupe Feedback.

  Hapa kila mtu atakuambia mawazo yake kivyake ushauri wangu nenda Hospitali kuu ya hapo ulipo kisha uje tena hapa utuambie Madaktari wamesemaje?
   
 6. O

  Oleni Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri sana ntajitahidi kufika Muhimbili
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu.@Olen Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa hapo kwetu ndio Fainali ukisha maliza matibabu ya hapo Hospitali ya muhimbili wakishindwa

  njoo hapa tutakupa Dawa za Tiba-Mbadala lakini kwanza nenda Hospitali kuu ya Taifa .kisha uje hapa utupe

  feedback umefikia wapi na hali ya mgonjwa enaendeleaje?
   
 8. O

  Oleni Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana ntafanya hivyo
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Pole sana Oleni kwa kuuguliwa...nadhani mdogo wako anahitaji si ushauri tu wa kwenye forum hapa, bali uchunguzi zaidi wa matatizo yake. It is very strange kwa kijana wa miaka 19 kuwa na HBP kiasi cha kupata 'cardiovascular accident/attack' (CVA eg Stroke minor or major au Transient Ischaemic Attack (TIA) samahani kama majina yatakuchanganya, nimeandika humo ili kama utataka ku-google upate information zaidi). Si HBP tu husababisha stroke, kuna umuhimu wa mdogo wako kuchunguzwa beyond HBP. Mara chache sana pressure inayorange 150/90 inasababisha stroke. Kwenye hiyo namba hapo juu...150 tunaita Systolic Blood Pressure, 150 is high but not that high..nitakuwa na wasiwasi wa stroke kama mgonjwa atakuwa na SBP 180 na zaidi....hiyo 90 tunaita Diastolic Blood Pressure, 90 ni normal..high DBP ya kutilia shaka ni kuanzia 100 na kuendelea. Kwa hiyo pressure ya 150/90 naweza iita 'borderline HBP' ambayo itahitaji kupima mara kadhaa kujiridhisha kuwa its really HBP.

  Ushauri: Sipigi debe...but jitahidi umuone Dr Herry Mwondolela wa Heameda Clinic pale Upanga Scout, ni bingwa wa moyo (Cardiologist) mzuri sana, atamuevaluate vyema mdogo wako.
   
 10. O

  Oleni Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nnashukuru sana kwa huu ushauri dokta ntafanya hivyo. Ahsante sana.
   
 11. O

  Oleni Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
   
 12. O

  Oleni Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  mkuu Oleni asante sana kwa Feedback zako kama walivyosema MaDaktari jaribu kuwasikiliza Ushauri wao MaDaktari na aendelee kutumia Dawa na uzidi kutupa feedback Maendeleo ya Mgonjwa wako atapoona tu inshallah asante.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...