Msaada wa haraka! Mchumba wangu anataka kunikataa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka! Mchumba wangu anataka kunikataa!

Discussion in 'JF Doctor' started by Logo, Mar 14, 2012.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu Dr wa JF,

  Mimi ni msichana wa miaka 20, ukweli namshukuru Mungu ameniumba vizuri sana! Ila ninashida moja! nimepoteza sana uwezo wa kusikia! Masikio yangu hayatoi usaha wala nini, ni mazima kama kawaida!

  Inakuwa hivi:-
  Nikianza kuongea na mtu hasa kwa simu ninamuelewa sana tu ila shida tu memory ikiflash back "unatatizo la kusikia" nikikumbuka tu moja kwa moja naloose nasiwezi kumsikia tena!

  Nilishawahi kwenda hospital za kitaalam kutibiwa lakini tatizo bado!

  Pia siwezi kusikiliza mziki wa sauti kubwa wakati huo huo naongea na mtu siwezi kumuelewa! Mnisaidie jaman mchumba wangu anataka kunitosa juu ya tatizo hili.

  Wenu,
  Mary!
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  pole mary,madocta watakuja sasa hiv kumwaga ushauri.....
   
 3. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 745
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  ulishawahi kuwa unatumia headphone kwa muda mrefu,hasa kusikiliza radio,music na staff nyingine...nimeuliza hivi ili tujue chazo chake nini ili usaidiwe kwa namna moja ama nyingine.
   
 4. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ..am so sory Mary,mie siwezi kukupa ushauri ambao ni mzuri zaidi Kidaktari(..as am jst stl a MD-student..),ila ni better ukaonana na wataalam(..i.e Specialists in Ortolaryngology/ENT-Doctors...) wao wanaweza kukuchek na kukupa ushauri mzuri and even treatment if necesary Dada,kwasababu sabu tatizo la kusikia sources zake zaweza kuwa nyingi na tofautitofauti ,eg-organ of corti(..hii inahusika system nzima ya upokeaji na translation za sound waves ktk required waves),mayb problem iko ktk vifupa/bone ossicles,nervus trochleris,etc.,kwasababu huwa unasikia ktk mazingira fulani na conditions fulani emotionaly,naamini tatizo laweza kupatiwa ufumbuzi na Maspecialists(..quote Me,Specialists wa ENT na si Daktari yeyote tu,sabu koti jeupe haimaanishi ni tabibu bingwa ktk kila magonjwa..),pia Psychiatric Doctor anaweza kuwa msaada mkubwa kwa suala zima la kukugaidi kufaiti na ''flash back negative memories na kufokas in mor positive memories''..

  Pia umemention suala la mziki wa sauti unaifekt ktk kusikia,..kama huwa unasikia maumivu fulani ukiwa karibu na sauti za juu za mziki,basi jaribu kumuelezea Doctor wako,anaweza kukushauri upime damu kuangalia ..''MENINGOCOCCAL INFECTION..'' ambao ni bacteria maarufu sana kusababisha ..''MENINGITIS''...ambapo sign yake ni kuogopa sauti za kelele/juu kwa sababu zinamumiza mhusika..,kwa ushauri wangu wa Kident naishia hapa,ila mchumba wako ajue kuna proverbs zinasema..''LOVE IS BLIND/LOVE DOESNT ASK WHY/LOVE KNOWS NO REASON/etc..'',so if He real loves U,zats not an excuse2leave U,sabu in zis life hakuna garantii,what hapens2I or2U2day might hapen2Him2moro,and am not so sure if He is gona propose4U2leave Him rather zan expectin ur ful suport...
   
 5. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asanteni madktari nimefurahi kwa respond za haraka maana nilidhani hata huku kuna mgomo hehe(utani).

  1. Aliyeuliza huwa natumia headphones kwa muda mrefu ni hapana, kiasi mara chache chache sana!

  Labda napenda nielezee tena chanzo cha ugonjwa! Ilikuwa mwaka 2005 nilipokuwa form one nilikuwa nakariri sana maneno ya kiingereza binafsi huwa nahisi chanzo kipo hapa kwa maana muda fulani nilifikia hali ya kutoona watu vizuri usoni na kutokusikia! Nilipewa dawa imechorwa sikio na jicho ya maji kuweka sikioni na machoni, nilitumia kwa muda fulani mamcho yakawa yanaona!

  Masikio yalikuwa yanasikia tu vizuri ila miaka ya hivi karibuni tatizo ndo limekuwa linasumbua sana! Kwa baadhi ya madaktari bingwa walionicheck walisema kuna shida kwenye Mishipa inayokwenda ubongoni kwa maana ya kwamba imelegea, hivyo ikibeba information zinaloose katikati kabla ya kufikia eneo husika.

  Tatizo si kusikia kusikia nasikia ila kulitambua kuwa ni neno gani inanipa shida sana!

  Sauti kubwa haziniumizi ila zinaleta interfiarence kubwa kiasi akili yote inakuwa reminded kuwa kuna mziki hivyo loose inatokea na kushindwa kabisa kuelewana!

  SHIDA KUBWA HUWA IPO TU PALE NINAPOFIKIRIA AU KUHISI KUWA SITAELEWA ANASEMA NINI, AU KUHOFU SITAMSIKIA! KUMBUKA SIMU ZOTE NINAZOPIGA MIMI NAELEWANA NAO VIZURI SANA, ILA NIKIPIGIWA NA KUHISI TU NINAPATA SHIDA KUELEWANA NA MTU KWA SIMU TAYARI HATA NISIPOKEE TU SIMU MAANA SIWEZI KABISA KUELEWANA NAYE!

  Asanteni kwa ushauri naendelea kusubiri!
   
 6. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaman kuna mgomo na huku?
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ni PM nikuelekeze dawa!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kukuumba vizuri kunahusiana vipi na matatizo yako?
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Si kasema mchumba wake anataka kumkataa wakati yeye ni binti mzuri tuu!tatizo ndio hilo pekee linalohatarisha sebene lao.
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Pm za nin mkuu! Mwaga maushauri hapa kila mtu afaidi,au ushauri wako wa binafsi zaid?
   
 11. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani huu uandishi wa kufupisha maneno kusikofata utaratibu hauleti ladha ya kusoma jamani wasomi badilikeni
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa uzuri wake hapo unausikaje si angeenda direct kwenye point kwamba mchumba wake anataka kumkimbia kisa ana matatizo ya kusikia? Sasa oh mie mzuri oh nimeumbika vizuri so what?
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mary, pole sana. Tatizo lako liko kiasikolojia zaidi. Ili upone unahitaji uthibitisho wa kitaalamu kuwa hauna tatizo lolote. Ni-pm mahali ulipo nikuelekeze utakapopata msaada almost for free. Inabidi iwe formal though, ili muajiri wako akusaidie gharama.
   
 14. M

  Mwitakesowani Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  pole sana je huckii kama kuna sauti inatoka masikioni wanasema huo co ugongjwa bali inaitwa titanus MUNGU yu mwema tembelea maeneo ya ibada na bwana atafanya njia
   
 15. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani kuhusu uzuri wake ilikuwa ni Intro tu iliobidi anze nayo ili tujue kwamba si sababu ya kutaka kukimbiwa bali sababu ni matatizo ya kusikia.
  So tuache kumjudge tumsaidie, tumpe msaada plizzzz....Maana Watanzani tuna tatizo moja alwayz badala ya kutatua tatizo nakutoa msaada tunaanza kulijadili nakutoa kasoro...
  Haipendezi let's change & help plizzz...
   
Loading...