nikila tu napata maumivu ya tumbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nikila tu napata maumivu ya tumbo

Discussion in 'JF Doctor' started by sepuka, Oct 17, 2012.

 1. s

  sepuka Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu wana jf shida yangu kubwa ni kwamba nina siku tatu kila nikila chakula si asubuhi nikinywa chai au mchana pia hata usiku napata maumivu makali ya tumbo pia linavuruga sana na kuunguruma naombeni msaada wenu madoctor nijue tatizo langu hospital bado sijaenda kwasababu nipo mbali na hospital kubwa.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  CHADEMA watakua wanahusika.
   
 3. a

  amigooo Senior Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mr kamwone Daktari kwanza halafu ndiyo utaweza kurudi na jibu una shida gani ndiyo tuweze kukusaidia zaidi
   
 4. g

  green_marwa Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana.Hizo ni dalili za Gastritis kitaam.Kwa lugha yab kawaida ni hatua ya mwanzo ya vidonda au michubuko tumboni.Maelezo yako si ya kutosha.D alili mojawapo ni maumivu ya tumbo eneo la chembe kama kunawaka moto,ukila chakula tumbo linavuruga na gesi kwa wingi.kubeua na kujamba.Maumivu yanaendana na vyakula vya aina fulani.km chai,kahawa,ndimu,pilipili na vyakula vyenye viungo.Watu wa namna hii inawezekana wakawa na tabia ya kutokuwa na muda maalum wa kula.Ili kupata nafuu...acha vyakula vyenye asili ya ukali,kula mda maalum,tumia na antiacid km magnesiamu au dawa km Relcer Gel km hakuha hata maziwa husaidia.Unahitaji kwenda kwa Daktari upimwe kujua chanzo ni nn.Bakteria aina ya H.pylori husababisha pia.Ugua oole
   
 5. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Karibu yote umemaliza mkuu, ndio maana ukaona watu wamekaa kimya. big up!
   
 6. s

  sepuka Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuruni kwa ushauri wenu pia green marwa kwa kunikumbusha kuhusu chembe ya moyo na tumbo kuwaka moto kweli hivyo vinanitokea napata maumivu makali mno.
   
 7. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sio bure inawezekana we ni kipenzi cha wasira.
   
Loading...