International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja. Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa. Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani. Wanaharakati na wapiga...
19 Reactions
190 Replies
7K Views
Julius Nyerere was among the first African leaders to recognise the Palestine Liberation Organisation (PLO) under Yasser Arafat. In the same interview for El Massawar, he stated: “Our generation...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Kabla ya mwaka 1948 sio ardhi yote ya eneo hilo ilikuwa ya Waarabu Wapalestina. Sehemu ya ardhi ilikuwa inamilikiwa na Wayahudi wachache, Sehemu kubwa ilikuwa ni ardhi ya umma iliyokuwa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
IDF wameahirisha kwa muda zoezi walilotaka kuanza wikiendi hii la kuingiza vikosi vyake katika mji wa Gaza kwa kile walichodai ni tatizo la hali ya hewa kitokuwa rafiki hasa kwa vikosi vya Anga...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Kumefanyika mkutano wa amani leo hii ambapo Israel imeukacha. Mkutano huu chini ya UN umeshirikisha viongozi mbalimbali ktk nchi zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, maofisa kutoka serikali...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu. Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu...
7 Reactions
127 Replies
4K Views
Kuna mandamano I srael hawataki vita, chezea na Missile za Hamasi https://youtu.be/fpu6s1U1LJA?si=Z4GIsWUFtJC-ty1L
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Imezoeleka kusikia kuwa Israel ni taifa kali lisiloshindwa kwenye vita. Hata hivyo historia inaonesha mwaka 1973 nchi za Syria na Misri pekee zilipigana kijeshi kwa siku chache kabla kusitishwa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Friends and Enemies, Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko...
27 Reactions
245 Replies
9K Views
Kwanza nianze na salamu kwa wana JF wote nikiamini ni wazima na mnaendelea vizuri. Pili niende moja kwa moja kwenye muktadha wa uzi huu kuwa hauna nia ya kudharau, kupotosha au kuchochea suala...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ilipo Africa Kusini basi Tanzania tupo kwani sisi ndio tuliwasaidia kupata Uhuru Tumtakie kila la Kheri Rais Ramaphosa katika huo mkutano muhimu sana wa Viongozi 20 wa Dunia Nawatakia Sabato Njema 😄
0 Reactions
10 Replies
799 Views
Salaaaam, Shalom! Uchokozi kati ya wafilisti na Waisraeli haukuanza leo, kupata ukweli hasa wa swali la mada hapo juu, inabidi tupitie maandiko. Pia usomapo thread hii, uwe na uwezo...
6 Reactions
127 Replies
7K Views
Hili suala tulikuwa tunalisema humu kuwa Congress kuna mvutano kuhusu misaada ya Ukraine mpaka kuchochea kuenguliwa kwa aliyekuwa spika wa congress bwana Mccarrhy. Hatimaye ikulu ya Marekani...
1 Reactions
3 Replies
776 Views
Hii leo muda mfupi kuanzia sasa malori 20 ya misaada yataanza kuvuka mpaka wa Misri na Gaza kupeleka misaada kwa Wapalestina waliozingirwa Gaza. Misaada hiyo itakuwa ni ya mwanzo na aliyoitaja...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mojawapo ya mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani Urussi wameingua makubaliano ya kuanza ujenzi wa 'Siberia 2' ikiwa ni bomba litakalosaidia kuongeza mauzo ya nishati hiyo toka Gazprom kwenda...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi! Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa...
13 Reactions
120 Replies
14K Views
Back
Top Bottom