Msimamo mkali wa Martin Luther dhidi ya Wayahudi

Joined
Nov 23, 2018
Posts
97
Reaction score
205
Salaam wanajamvi!

Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya Wayahudi.

Mnamo mwaka 1543 Luther alichapisha kitabu alichokiita "On the Jews and Their Lies" ambamo anadai kwamba Wayahudi ni "Watu duni, wazinzi, na si watu wa Mungu kama wanavyojinasibu. Kujisifu kwao kwa ukoo, kutahiriwa na sheria si chochote bali ni unajisi tu."

Kwa mujibu wa Luther, Mayahudi wamejawa na "Kinyesi cha shetani."

Luther anaendelea kusema kuwa Sinagogi lilikuwa "Bibi-arusi aliyetiwa unajisi, naam, kahaba asiyebadilika."

Luther akahimiza kwamba masinagogi na shule zao zichomwe moto, vitabu vyao vya maombi viharibiwe, marabi wakatazwe kuhubiri, nyumba zao ziboomolewe, mali na pesa zao zichukuliwe kwa nguvu. Hawapaswi kuonyeshwa huruma au wema, na hawapaswi kupewa ulinzi wa kisheria.

Luther pia amewaita Mayahudi "wadudu wenye sumu kali" ambao wanapaswa kulazimishwa kufanya kazi km watumwa au kufukuzwa kabisa.

Martin Luther pia anaonekana kuhimiza mauaji ya Wayahudi katika "On the Jews and Their Lies" kwa kusema:

"Hakuna maelezo mengine kwa hili zaidi ya yale yaliyotajwa hapo awali kutoka kwa Musa - yaani, Mungu amewapiga [Mayahudi] kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni' [Kumbukumbu 28:28]. Kwa hiyo hata sisi tuna hatia ya kutolipiza kisasi damu hii yote isiyo na hatia ya Bwana wetu na ya Wakristo ambayo walimwaga kwa miaka mia tatu baada ya uharibifu wa Yerusalemu, na damu ya watoto waliomwaga tangu wakati huo (ambayo bado inang'aa kutoka macho yao na ngozi zao). Tuna makosa kwa kutowaua." - Tafsiri ni yangu

Maelezo zaidi yanapatikana kwenye kitabu hapo kwenye attachment.

Je, Walutheri wa Tanzania (KKKT) mnashika msimamo wa Church Father wenu au mna maoni tofauti?

WasalaamView attachment Luther_On_Jews.pdf
 
Naam MOVIE ndo imepamba moto
images.jpg
 
Mnamo mwaka 1543 Luther alichapisha kitabu alichokiita "On the Jews and Their Lies" ambamo anadai kwamba Wayahudi ni "watu duni, wazinzi, na si watu wa Mungu kama wanavyojinasibu. Kujisifu kwao kwa ukoo, kutahiriwa na sheria si chochote bali ni unajisi tu"
Inawezekana ni unajisi kwa mtazamo wake maana wayahudi ndiyo waliokuwa wakiwasiliana na Mungu na yeye Luther angeandika alichokisikia kutoka kwa Mungu live kuwa crash wayahudi
 
Mayahudi gani walikuwa wakiwasiliana na Mungu mkuu?
 
Wazungu wanafiki mno, wamewatesa Wayahudi, kuwanyanyapaa kwa miaka 1000. Walipohakikisha wamewasaidia kuondoka ktk nchi zao kwa kuwasukumizia Palestine kijanja, leo wanajifanya ndo wanawatetea kupita kiasi!
Wayahudi wengi wako nje ya nchi yao kuliko wale walioko Ndani ya Israeli .Hiyo ni kwa kunibu wa tafiti za kimataifa mpaka leo
 
Kwahiyo mnakata muwaunganishe wakristo kupambana na uyahudi[emoji28][emoji28],hilo sahauni.
 
Je, Walutheri wa Tanzania (KKKT) mnashika msimamo wa Church Father wenu au mna maoni tofauti?

WasalaamView attachment 2787105
Kanisa lolote la Kikristo unaloliona halijengwi juu ya msingi wa Church father yeyote linajengwa juu ya Msingi amba ni Yesu Kristo tu sio binadamu yeyote awr Martin Luther su yoyote

Hixo porojo unazoita za Martin Luther ziwe kweli au uongo ni zake Binafsi sio Msimamo wa kanisa la KKKT
 
Salaam wanajamvi!

Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya Wayahudi.

Mnamo mwaka 1543 Luther alichapisha kitabu alichokiita "On the Jews and Their Lies" ambamo anadai kwamba Wayahudi ni "Watu duni, wazinzi, na si watu wa Mungu kama wanavyojinasibu. Kujisifu kwao kwa ukoo, kutahiriwa na sheria si chochote bali ni unajisi tu."

Kwa mujibu wa Luther, Mayahudi wamejawa na "Kinyesi cha shetani."

Luther anaendelea kusema kuwa Sinagogi lilikuwa "Bibi-arusi aliyetiwa unajisi, naam, kahaba asiyebadilika."

Luther akahimiza kwamba masinagogi na shule zao zichomwe moto, vitabu vyao vya maombi viharibiwe, marabi wakatazwe kuhubiri, nyumba zao ziboomolewe, mali na pesa zao zichukuliwe kwa nguvu. Hawapaswi kuonyeshwa huruma au wema, na hawapaswi kupewa ulinzi wa kisheria.

Luther pia amewaita Mayahudi "wadudu wenye sumu kali" ambao wanapaswa kulazimishwa kufanya kazi km watumwa au kufukuzwa kabisa.

Martin Luther pia anaonekana kuhimiza mauaji ya Wayahudi katika "On the Jews and Their Lies" kwa kusema:

"Hakuna maelezo mengine kwa hili zaidi ya yale yaliyotajwa hapo awali kutoka kwa Musa - yaani, Mungu amewapiga [Mayahudi] kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni' [Kumbukumbu 28:28]. Kwa hiyo hata sisi tuna hatia ya kutolipiza kisasi damu hii yote isiyo na hatia ya Bwana wetu na ya Wakristo ambayo walimwaga kwa miaka mia tatu baada ya uharibifu wa Yerusalemu, na damu ya watoto waliomwaga tangu wakati huo (ambayo bado inang'aa kutoka macho yao na ngozi zao). Tuna makosa kwa kutowaua." - Tafsiri ni yangu

Maelezo zaidi yanapatikana kwenye kitabu hapo kwenye attachment.

Je, Walutheri wa Tanzania (KKKT) mnashika msimamo wa Church Father wenu au mna maoni tofauti?

WasalaamView attachment 2787105
Huyu aliandika hayo siyo kwa misingi ya dini ila kutokana na uadui wa Wajerumani na Wayahudi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu wa wapi hao?
Wazungu wanafiki mno, wamewatesa Wayahudi, kuwanyanyapaa kwa miaka 1000. Walipohakikisha wamewasaidia kuondoka ktk nchi zao kwa kuwasukumizia Palestine kijanja, leo wanajifanya ndo wanawatetea kupita kiasi!
 
Wenye ulimwengu wao huwaga hawapayukagi hovyo hovyo kama hao wanaojiita wanaharakati wakina martini lusa wao ni VITENDO DHIDI YA MANENO!!
 
Salaam wanajamvi!

Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya Wayahudi.

Mnamo mwaka 1543 Luther alichapisha kitabu alichokiita "On the Jews and Their Lies" ambamo anadai kwamba Wayahudi ni "Watu duni, wazinzi, na si watu wa Mungu kama wanavyojinasibu. Kujisifu kwao kwa ukoo, kutahiriwa na sheria si chochote bali ni unajisi tu."

Kwa mujibu wa Luther, Mayahudi wamejawa na "Kinyesi cha shetani."

Luther anaendelea kusema kuwa Sinagogi lilikuwa "Bibi-arusi aliyetiwa unajisi, naam, kahaba asiyebadilika."

Luther akahimiza kwamba masinagogi na shule zao zichomwe moto, vitabu vyao vya maombi viharibiwe, marabi wakatazwe kuhubiri, nyumba zao ziboomolewe, mali na pesa zao zichukuliwe kwa nguvu. Hawapaswi kuonyeshwa huruma au wema, na hawapaswi kupewa ulinzi wa kisheria.

Luther pia amewaita Mayahudi "wadudu wenye sumu kali" ambao wanapaswa kulazimishwa kufanya kazi km watumwa au kufukuzwa kabisa.

Martin Luther pia anaonekana kuhimiza mauaji ya Wayahudi katika "On the Jews and Their Lies" kwa kusema:

"Hakuna maelezo mengine kwa hili zaidi ya yale yaliyotajwa hapo awali kutoka kwa Musa - yaani, Mungu amewapiga [Mayahudi] kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni' [Kumbukumbu 28:28]. Kwa hiyo hata sisi tuna hatia ya kutolipiza kisasi damu hii yote isiyo na hatia ya Bwana wetu na ya Wakristo ambayo walimwaga kwa miaka mia tatu baada ya uharibifu wa Yerusalemu, na damu ya watoto waliomwaga tangu wakati huo (ambayo bado inang'aa kutoka macho yao na ngozi zao). Tuna makosa kwa kutowaua." - Tafsiri ni yangu

Maelezo zaidi yanapatikana kwenye kitabu hapo kwenye attachment.

Je, Walutheri wa Tanzania (KKKT) mnashika msimamo wa Church Father wenu au mna maoni tofauti?

WasalaamView attachment 2787105
Huyu atakuwa Martin Luther wa Tandale kwa mtogole, baada ya kula ugali dagaa na maji ya Kandoro, akavaa kobazi zake na kanzu yenye viraka akaelekea maeneo ya manzese kwa mfuga mbwa njiani akaketi kwenye kijiwe cha kahawa kisha akanunuliwa ali kasusu na kuanza kuropoka hayo maoni yake.
 
Kanisa lolote la Kikristo unaloliona halijengwi juu ya msingi wa Church father yeyote linajengwa juu ya Msingi amba ni Yesu Kristo tu sio binadamu yeyote awr Martin Luther su yoyote

Hixo porojo unazoita za Martin Luther ziwe kweli au uongo ni zake Binafsi sio Msimamo wa kanisa la KKKT
Kwahiyo KKT nao ili wabarikiwe lazima wawapigie magoti wayahudi,? Ahhh hizi Imani setup hizi
 
Salaam wanajamvi!

Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya Wayahudi.

Mnamo mwaka 1543 Luther alichapisha kitabu alichokiita "On the Jews and Their Lies" ambamo anadai kwamba Wayahudi ni "Watu duni, wazinzi, na si watu wa Mungu kama wanavyojinasibu. Kujisifu kwao kwa ukoo, kutahiriwa na sheria si chochote bali ni unajisi tu."

Kwa mujibu wa Luther, Mayahudi wamejawa na "Kinyesi cha shetani."

Luther anaendelea kusema kuwa Sinagogi lilikuwa "Bibi-arusi aliyetiwa unajisi, naam, kahaba asiyebadilika."

Luther akahimiza kwamba masinagogi na shule zao zichomwe moto, vitabu vyao vya maombi viharibiwe, marabi wakatazwe kuhubiri, nyumba zao ziboomolewe, mali na pesa zao zichukuliwe kwa nguvu. Hawapaswi kuonyeshwa huruma au wema, na hawapaswi kupewa ulinzi wa kisheria.

Luther pia amewaita Mayahudi "wadudu wenye sumu kali" ambao wanapaswa kulazimishwa kufanya kazi km watumwa au kufukuzwa kabisa.

Martin Luther pia anaonekana kuhimiza mauaji ya Wayahudi katika "On the Jews and Their Lies" kwa kusema:

"Hakuna maelezo mengine kwa hili zaidi ya yale yaliyotajwa hapo awali kutoka kwa Musa - yaani, Mungu amewapiga [Mayahudi] kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni' [Kumbukumbu 28:28]. Kwa hiyo hata sisi tuna hatia ya kutolipiza kisasi damu hii yote isiyo na hatia ya Bwana wetu na ya Wakristo ambayo walimwaga kwa miaka mia tatu baada ya uharibifu wa Yerusalemu, na damu ya watoto waliomwaga tangu wakati huo (ambayo bado inang'aa kutoka macho yao na ngozi zao). Tuna makosa kwa kutowaua." - Tafsiri ni yangu

Maelezo zaidi yanapatikana kwenye kitabu hapo kwenye attachment.

Je, Walutheri wa Tanzania (KKKT) mnashika msimamo wa Church Father wenu au mna maoni tofauti?

WasalaamView attachment 2787105
baada ya kuandika upumbav wote huo , tambua bado hatukubali nyiny waislam kuwavamia wayaudi hlf mkijibiwa mnalia kuonewa , ukitaka amani bas ishi kwa amani , huo upumbav wenu jitahidin kuuweka pembeni
 
Back
Top Bottom