Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
 
Uislam ni uarabu na Uarabu ni Uislam huwezi kuvitenganisha ukimsema muarabu unaonekana mbaguzi wa kiimani

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Adam kazaliwa mashariki ya Kati
Yesu kazaliwa Palestina uarabuni
Mtume wetu kazaliwa Makka
Hakuna mtume aliezaliwa Vatican. Kama unae mlete hapa. Hujui kitu unashabikia kama unashabikia ngoma
 
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
Uislam ni janga la Dunia kama majanga mengine mfano tetemeko, ukimwi , COVID 20 etc
 
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
Hakuna uadui...... US na Saudia ni marafiki kuliko Iraq na Saudia
 
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
Hawa jamaa ni wajanja sana kwa kuhamisha magoli..... hapa Tz tumewambia. Mkataba Wa DPW sio mzuri hauna manufaa kwa Taifa na tukawapa na vielelezo muhimu.

Hatukukataa Mkataba bali tukaomba Marekebisho.

Walichokuja kusema kiliushangaza ulimwengu.

Eti hatutaki Uislam na awaarabu.

Sasa unajiuliza kwani DPW walitaka kuja kuwekeza kwenye Misikiti au kwenye Bandari.

Hapa ndio tukashtuka kwamba Dpw hawawekezi kwenye bandari kama IGA ilivyotaka kutudanganya
 
Migogoro yote ya wamerekani na wamagharibi in general ni migogoro ya kibepari either unakitu wanachotaka au wewe ni kikwazo kupata wakitakacho period ,angalia Venezuela,Chile Honduras ile latin America wamevuruga sana wahuni ukija na mgogoro wao wakudumu Russia so ilo suala la kuchukia dini flan au race flan ni upofu tu watu wamejipa hawqoni chochote beyond dini zao
 
90% ya waislamu Tz,wanaamini USA inachukia uislamu kisa uislamu unakataza ushoga..
Ndio maana nkauliza Kuna ukweli hapo?
 
Issue sio Uislm but ni Uaarabu na resources zilizo katika hizo Nchi Indonesia & Malaysia hazina resources zozote za maana kama zilivyo Nchi za kiarabu.
Turkey kinacho msaidia ni geographical position yake dhidi ya adui wa USA & West countries ambaye ni Russia.Turkey inatumika kimkakati kuua nguvu za Russia kimkakati.
 
Back
Top Bottom