Sakata la Palestina, na taswira ya udini duniani

Edson Carrington

JF-Expert Member
Oct 30, 2022
216
634
Kwanza nianze na salamu kwa wana JF wote nikiamini ni wazima na mnaendelea vizuri.

Pili niende moja kwa moja kwenye muktadha wa uzi huu kuwa hauna nia ya kudharau, kupotosha au kuchochea suala lolote la udini wala siasa.

Moja kwa moja tukienda kuangazia sakata linaloendelea huko magharibi mwa dunia, linalohusu mataifa mawili yaliyo kwenye mgogoro wa kihistoria duniani Palestine na Israel, ambapo kihistoria inaonyesha haya ni mataifa yanayowakutanisha ndugu wawili (Ismaili na Yakoub) kwenye chimbuko lao kutoka kwa baba yao (Ibrahim).

Na pia tukiangazia haswa kwenye sakata hili utagundua chimbuko kuu ni ardhi ya ukanda wa GAZA inayogombewa kati ya mataifa haya mawili enzi na enzi.

Sakata hili limezua vita vya mara kwa mara vikiambatana na vifo kwa kiasi kikubwa sana. Huku mhanga mkubwa akiwa Palestine ambaye amekuwa kama mdogo kwa Israel.

Lakini pia tukiangalia upande wa imani kati ya mataifa haya utagundua ni dhahiri ni moja ya vitu vinavyochochea vita hii, ambapo kwa macho ya kawaida huwezi liona suala hili lililojificha. Hii isingekuwa vita kubwa duniani kama ingehusisha mataifa yenye idadi kubwa ya watu wenye mchanganyiko wa dini. Kwani isingepelekea baadhi ya watu kutaka ingilia kwa kigezo cha imani.

Kiukweli Uislamu umeshamiri kwa kiasi kikubwa sana kwa upande wa Palestine.Na hawa ni watu wanaoamini kwa Allah S.W na mtume wake S.A.W

Na pia kwa upande wa Israel utagundua kuwa wengi wao wana asili ya kiyahudi toka enzi na enzi mpaka sasa. Hawa ni watu wasiokuwa na dini na wasioamini uwepo wa nguvu iitwayo Mungu, wanaamini hakuna Maisha baada ya kifo (Na ndio maana huogopa zaidi kifo), ushoga, uasherati nk. Watu hawa hufahamika kama makafiri kwa upande wa Palestine.

Kutokana na kanda hizi kushamiri kwa imani hizi imetengenezeka dhana inayo ashiria vita hii ni kati ya waislamu na makafiri kwa upande wa dunia na hii inajengeka maeneo mbalimbali duniani. Kwa upande wa uislamu huamini kuwa waislamu wote ni ndugu duniani, na tatizo linapomkuta muislamu mwenzako unapaswa kuwajibika kumsitiri mwenzako.

Uislamu pia huamini kuwa kuna aina mbili za dini hapa duniani kwani ni uislamu na ukafiri, na hili ndilo linalojidhihilisha kwani tayari vita hii imegawa watu wengi duniani kwenye pande mbili. Baadhi ya watu wameonekana kusupport upande fulani kutokana na imani tu kati ya mataifa haya. Kwani si ajabu baadhi ya watu wamekuwa wakisupport upande fulani ili kuikandamiza dini fulani.

Ukipita mitandaoni utakuta kila mtu ana upande wake, huyu Israel na huyu Palestine, huku kiini kikuu kikiwa ni dini zilizonyuma ya mataifa haya. Ambapo huwezi mkuta akiliongelea hili lakini ni dhahiri kabisa.

Lakini baada ya yote, sote ni binadamu na kikubwa tuombe salama kwani vita sio ya kushabikia kwani wanaoumia ni binadamu kama sisi.

Mwenyezi Mungu ndie ajuaye yote kuhusu sisi, hatuna haja ya kumwachia yeye kwani asemayo kwenye vitabu tunayaona kwa macho.

Ngoje tukae tuendelee kuangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu suala la Palestina na Israel halina uhusiano dini wala nini hapo kinacho gombaniwa ni ardhi acheni kurazimisha mambo, siku Israel akiondoka kwenye ardhi za wapalestina na kukawepo mataifa mawili yanayo heshimiana huu mgogoro hutausikia tena.

Wanao leta mitazamo na ushabiki wa kidini katika huu mgogoro wengi wao ni waafrika kwa sababu ya wengi wao ni wapumbavu na ndio maana hata bara lao limejaa mambo ya hovyo na umasikini kila mahali.

Na wahanga wakubwa wa huu upuuzi ni warokole na wafuasi wa manabii uchwara walio jazana hapa Africa.

Ukienda America ya kusini raia wa mataifa yote ni waumini wa kikatoliki lakini kuanzia raia na serikali zao wanawaunga mkono wapalestina kwa sababu mgogoro huu hawa utizami kwa mtazamo wa kidini bali wanautizama kwa misingi ya kibinadamu na kiuhalisia.
 
Mimi nichoka Mbona wayahudi wanateswa walikuja afrika misri ikawafanya watumwa wakafukuzwa,wakaenda Ulaya ujerumani ya Nazi ikawauwa, walakimbilia ndugu zake waarabu, nako mnasema waondoke,waende wapi. Sasa Israel piganeni mufie wote hapo hapo. Tumechoka munanyanyaswa sana
 
Alafu Israel uwapuuze hao UN ,US Hamas wamejichanganya na raia Israel itawatofautishaje na Palestine. Palestine iwakae Hamas in
na Israel kuwa taifa moja au Palestine iende kwa Waislam wenzake .NB tunahitaji dini na kanisa,na serikali moja dunia nzima
 
Kwann una sema Israel waondoke waende wapi? Sasa wew mdini. Israel ni taifa limezungukwa na nchi nyingi za kiislaamu,kumfukuza Israel hapo kisa sio Waislam ni ubaguzi dunia yetu sote.
Boss kasema
 
Attachments

  • Screenshot_20231021-234716_Instagram.jpg
    Screenshot_20231021-234716_Instagram.jpg
    75.3 KB · Views: 4
Moja kwa moja tukienda kuangazia sakata linaloendelea huko magharibi mwa dunia, linalohusu mataifa mawili yaliyo kwenye mgogoro wa kihistoria duniani Palestine na Israel, ambapo kihistoria inaonyesha haya ni mataifa yanayowakutanisha ndugu wawili (Ismaili na Yakoub) kwenye chimbuko lao kutoka kwa baba yao (Ibrahim).
Kila mtanzani ni mchambuzi

Hivi kweli Israel na Palestina ni Magharibi!!!
 
Ni isaka na ishmael ndo watoto wa ibrahimu yakobo kaja baadae tena kutokea kwa Isaka sio Ibrahimu na ugomvi ulianzia kwao ambapo isaka ana baraka ya agano ambapo mojawapo ya baraka hiyo ni ardhi na kwa kupitia uzao wa ibrahimu akazaliwa mwokoz wa ulimwengu yaan Yesu Kristo na Mungu alijifunua kupitia kizazi cha isaka. shetan naye katika kuvuruga vya Mungu amepitia kwa ishmael ndo kuna dini na mtume na tabia na vitu vingine viiingi potofu
🤣😅
Naona dalili za uwanja kuanza kuchimbika
 
Mkuu suala la Palestina na Israel halina uhusiano dini wala nini hapo kinacho gombaniwa ni ardhi acheni kurazimisha mambo, siku Israel akiondoka kwenye ardhi za wapalestina na kukawepo mataifa mawili yanayo heshimiana huu mgogoro hutausikia tena.

Wanao leta mitazamo na ushabiki wa kidini katika huu mgogoro wengi wao ni waafrika kwa sababu ya wengi wao ni wapumbavu na ndio maana hata bara lao limejaa mambo ya hovyo na umasikini kila mahali.

Na wahanga wakubwa wa huu upuuzi ni warokole na wafuasi wa manabii uchwara walio jazana hapa Africa.

Ukienda America ya kusini raia wa mataifa yote ni waumini wa kikatoliki lakini kuanzia raia na serikali zao wanawaunga mkono wapalestina kwa sababu mgogoro huu hawa utizami kwa mtazamo wa kidini bali wanautizama kwa misingi ya kibinadamu na kiuhalisia.
waisrael waondoke waende wap?
 
🤣😅
Naona dalili za uwanja kuanza kuchimbika
biblia ni halisi sana kwa mfano palipojengwa hekalu la mfalme suleiman ni uwanja umenunuliwa na Daudi kutokea kwa mtu anaitwa Arauna kwenye biblia ipo wazi kabisa shetan naye kwa kuiga akajenga msikiti hapohapo ndo ujue namna ambavyo hii dini ni maigizo shetan anafanya kuigiza kilichokwisha fanyika ili awapoteze wengi aende nao kuzimu
 
You mean walivunja hekalu na kujenga kitu kingine?
Kwani dini zingine zilikuja karne gani?
 
Mkuu suala la Palestina na Israel halina uhusiano dini wala nini hapo kinacho gombaniwa ni ardhi acheni kurazimisha mambo, siku Israel akiondoka kwenye ardhi za wapalestina na kukawepo mataifa mawili yanayo heshimiana huu mgogoro hutausikia tena.

Wanao leta mitazamo na ushabiki wa kidini katika huu mgogoro wengi wao ni waafrika kwa sababu ya wengi wao ni wapumbavu na ndio maana hata bara lao limejaa mambo ya hovyo na umasikini kila mahali.

Na wahanga wakubwa wa huu upuuzi ni warokole na wafuasi wa manabii uchwara walio jazana hapa Africa.

Ukienda America ya kusini raia wa mataifa yote ni waumini wa kikatoliki lakini kuanzia raia na serikali zao wanawaunga mkono wapalestina kwa sababu mgogoro huu hawa utizami kwa mtazamo wa kidini bali wanautizama kwa misingi ya kibinadamu na kiuhalisia.

Walokole walikukosea nini mana unawasakama sana,
 
Back
Top Bottom