Biden aruhusu malori 20 ya misaada kwa mateka 2 wa Marekani

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,199
10,932
Hii leo muda mfupi kuanzia sasa malori 20 ya misaada yataanza kuvuka mpaka wa Misri na Gaza kupeleka misaada kwa Wapalestina waliozingirwa Gaza.

Misaada hiyo itakuwa ni ya mwanzo na aliyoitaja raisi Biden juzi kama ni makubaliano yake na Rais Elsisi wa Misri. Jana viongozi wa Hamas waliachia mateka 2 wa Marekani ikionekana kama ndiyo makubaliano hayo ya Biden na Elsisi.

Hata hivyo imeelezwa malori 20 ni kama asilimia moja tu ya mahitaji ya Wapalestina milioni mbili laki tatu kwa kila siku. Kikawaida mpaka huo huwa unapitisha malori 60 kwa siku.

Malori hayo 20 yanakuja baada ya takriban siku 10 za kutoingia chochote nchini humo kutokea popote na wakati mahitaji yameongezeka zaidi kutokana na kuongezeka madhara ya vita.
 
walipoanzisha vita hawakujipanga?
 
akil zako ni sifur kuwa na nguv sio sabab ya kujiingiza direct kweny kila vita
Wewe punguani kweli sasa unapinga nini, leo sijaona pumba zako unazoandika bila data unaokota habari kwenye vijiwe vya mbege kisha unaleta JF bila data wala facts za kutosha.
 
Mbinu za kiivita hizo unadhani Marekani wajinga kukubali wanajua mziki wa Hamas wanaogopa kufa uingie Gaza kwa miguu utoke salama?
Hofu ni kuwa kuna raia mle wasiokuwa na hatia, ila kuteketezwa Gaza ni maamuzi ya muda mfupi tu.​
 
Sasa ile ahadi ya vijana wa Israel kuiona Gaza kutokea ndani yake katika muda mfupi imeishia wapi.
 
Hamas wanaletaa mchezo wa muvi za kichina kwenye vita vyaa kweliii pumbavuuu zao......

Yaani roho za wapelistina ni sawa na malori20 kweli waarabu k*ma sana bora hata iyo din allah angeishusha Afrika
 
Ngoja kwanza tubomoe majengo, wataondoka wenyewe tu
Ww kweli huna unachojua eti ubomoe majengo watoke waliokwambia hamas wapo kwenye magorofa nani israel anashambulia wiki nzima hili apate kuvunja mahandaki ya chini ya ardhi bahati mbaya mengi hajui yalipo
 
Inasikitisha sana yani raia wa palestina kupata chakula na mahitaji muhimu ni mpaka wabadilishane na mateka. Wapambane tu kwakweli nchi ni yao hiyo
 
Hamas wanaletaa mchezo wa muvi za kichina kwenye vita vyaa kweliii pumbavuuu zao......

Yaani roho za wapelistina ni sawa na malori20 kweli waarabu k*ma sana bora hata iyo din allah angeishusha Afrika
Ni kwasababu tu huna akili au umejitoa akili. Maisha ya wapalestina miaka nenda miaka rudi ndio hayo chochote kinachoingia au kutoka ni kwa amri ya israeli yani ni kama wapo gerezani. Hamas wanafanya jambo zuri sana kutaka nchi yao iwe huru.
 
Back
Top Bottom