Maambukizi ya Kipindupindu yasambaa katika Majimbo 10 Nchini Zimbabwe

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika majimbo ya Kusini-Mashariki ya Masvingo na Manicaland.

Mlipuko wa Kipindupindu umeua zaidi ya watu 100 na kuambukiza 5,000 tangu Februari, 2023 kulingana na makadirio ya Serikali.

Sehemu ya mchakato wa kudhibiti ugonjwa huo, Serikali imezuia shughuli za mazishi kuwa na zaidi ya Watu 50 na kuwakataza waliohudhuria kupeana mikono au kutoa chakula kwenye mikusanyiko, watu wa

Moja ya sababu ya kusambaa kwa maambukizi hayo inatajwa kuwa ni miundombinu duni ya vyoo na maji katika maeneo mengi Nchini hapo, pia raia wengi hasa wa Vijijini hwana huduma ya maji ya bomba, hivyo kutegemea visima au mito isiyo salama.

=========

Zimbabwe struggles to contain spread of cholera outbreak

Zimbabwe has been struggling to contain spread of cholera outbreak, with the government announcing measures amid fears of a repeat of its 2008 outbreak that sparked a “national emergency”.

Cholera cases span all 10 of Zimbabwe’s provinces, with the most alarming spikes in the south-eastern provinces of Masvingo and Manicaland, the epicentre of the crisis.

Cholera outbreak has killed more than 100 people and infected 5,000 since February, according to government estimates.

To curb the spread, the government has imposed restrictions in vulnerable areas, limiting funerals to 50 people and forbidding attendees from shaking hands or serving food at the gatherings.

Authorities are also discouraging people from frequenting open-air markets, unlicensed vendors, or outdoor church camps where sanitation is scarce.

Cholera, a water-borne disease caused by ingesting contaminated food or water, often spreads quickly throughout Zimbabwe because of its poor sanitation infrastructure and limited clean water.

Many Zimbabweans, especially in remote villages, stay without tap water for months at a time, forcing them to draw from unsafe wells or rivers. Raw sewage spilling from busted pipes and heaps of lingering refuse increase the risk of the disease spreading.

Source: Aljazeera
 
Back
Top Bottom