China wafurahia bomba jipya la gesi kutoka Urusi (Siberia 2)

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Mojawapo ya mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani Urussi wameingua makubaliano ya kuanza ujenzi wa 'Siberia 2' ikiwa ni bomba litakalosaidia kuongeza mauzo ya nishati hiyo toka Gazprom kwenda China.

Baada ya mgogoro wake na nchi za jumuiya ya ulaya, Russia wameendelea kutafuta mbadala na hivyo kuelekeza mauzo yake huko Asia, America kusini na Afrika.

Rais wa China ameshukuru kwa hatua hiyo itakayoendelea kuchochoea maendeleo ya kiuchumi na kibiashara katika taifa hilo ambalo uchumi wake unapaa kwa kasi.
---

China hopes that the construction of a new natural gas pipeline connecting the country to Russia via Mongolia will soon see “substantial progress,” President Xi Jinping has said, following a meeting with Russian President Vladimir Putin in Beijing on Wednesday, CCTV reports.

President Putin is currently visiting China for the third Belt and Road Forum for International Cooperation (BRF).

Effective cooperation with Russia would ensure grain and energy security, the Chinese leader said, adding that strengthening ties between Moscow and Beijing is a long-term goal.

The project, dubbed the Power of Siberia 2, will bring natural gas from Russia’s Yamal peninsula, which – prior to the Ukraine conflict – used to serve the EU market through several pipelines, including Nord Stream, which was sabotaged in September 2022.

Russian officials are planning to increase pipeline gas supplies to China by 50 billion cubic meters (bcm) annually via Power of Siberia 2, while the existing Power of Siberia pipeline is due to provide 38 bcm per year by 2025.
 
USA ni kama inaji-self destruct kila kukicha. Mara kupoteza nguvu ya ushawishi, uhalifu na ushoga uliokithiri pamoja kushiriki kuidhoofisha EU.
Anachokitafta ni kama kudominate ndio maana kila sehemu yupo , ni kama anahitaji kudominate upande wa ushawishi kuliko wengine under the world pia awe over power
 
Mojawapo ya mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani Urussi wameingua makubaliano ya kuanza ujenzi wa 'Siberia 2' ikiwa ni bomba litakalosaidia kuongeza mauzo ya nishati hiyo toka Gazprom kwenda China.

Baada ya mgogoro wake na nchi za jumuiya ya ulaya, Russia wameendelea kutafuta mbadala na hivyo kuelekeza mauzo yake huko Asia, America kusini na Afrika.

Rais wa China ameshukuru kwa hatua hiyo itakayoendelea kuchochoea maendeleo ya kiuchumi na kibiashara katika taifa hilo ambalo uchumi wake unapaa kwa kasi.
---

China hopes that the construction of a new natural gas pipeline connecting the country to Russia via Mongolia will soon see “substantial progress,” President Xi Jinping has said, following a meeting with Russian President Vladimir Putin in Beijing on Wednesday, CCTV reports.

President Putin is currently visiting China for the third Belt and Road Forum for International Cooperation (BRF).

Effective cooperation with Russia would ensure grain and energy security, the Chinese leader said, adding that strengthening ties between Moscow and Beijing is a long-term goal.

The project, dubbed the Power of Siberia 2, will bring natural gas from Russia’s Yamal peninsula, which – prior to the Ukraine conflict – used to serve the EU market through several pipelines, including Nord Stream, which was sabotaged in September 2022.

Russian officials are planning to increase pipeline gas supplies to China by 50 billion cubic meters (bcm) annually via Power of Siberia 2, while the existing Power of Siberia pipeline is due to provide 38 bcm per year by 2025.
Ufalme upi? Ambao unaweza kuutengeneza chini ya Android, IOS, Window, Pay pal, Visa, Master, iPhone, WhatsApp, Google, Coke{ Cola}, Instagram, Facebook, Chanjo nyingi za mifugo, binadamu na mimea.
Marekani ataendelea kuwa mfalme mpaka miaka 200 ijayo.
 
Komaa hivyo hivyo. Hizo instargam, facebuku,google nk watu wanakula? We jamaa umejazwa umarekani mpaka unashindwa kuona ukweli.
Kule G7 eti na italy ni nchi yenye nguvu ya kiuchumi kuliko Russia. Maajabu yapo duniani.
 
Akili nyingi huondoa maarifa
 
Komaa hivyo hivyo. Hizo instargam, facebuku,google nk watu wanakula? We jamaa umejazwa umarekani mpaka unashindwa kuona ukweli.
Kule G7 eti na italy ni nchi yenye nguvu ya kiuchumi kuliko Russia. Maajabu yapo duniani.
Unaijua Italy wewe au unaisikia sikia.........kuna roma pale .......lazima iwe tajiri si unajua wakatoriki hawana jambo dogo
 
Ufalme upi? Ambao unaweza kuutengeneza chini ya Android, IOS, Window, Pay pal, Visa, Master, iPhone, WhatsApp, Google, Coke{ Cola}, Instagram, Facebook, Chanjo nyingi za mifugo, binadamu na mimea.
Marekani ataendelea kuwa mfalme mpaka miaka 200 ijayo.
Hata Uingereza iliwahi kuitwa WORKSHOP OF THE WORLD so what about today
 
Mojawapo ya mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani Urussi wameingua makubaliano ya kuanza ujenzi wa 'Siberia 2' ikiwa ni bomba litakalosaidia kuongeza mauzo ya nishati hiyo toka Gazprom kwenda China.

Baada ya mgogoro wake na nchi za jumuiya ya ulaya, Russia wameendelea kutafuta mbadala na hivyo kuelekeza mauzo yake huko Asia, America kusini na Afrika.

Rais wa China ameshukuru kwa hatua hiyo itakayoendelea kuchochoea maendeleo ya kiuchumi na kibiashara katika taifa hilo ambalo uchumi wake unapaa kwa kasi.
---

China hopes that the construction of a new natural gas pipeline connecting the country to Russia via Mongolia will soon see “substantial progress,” President Xi Jinping has said, following a meeting with Russian President Vladimir Putin in Beijing on Wednesday, CCTV reports.

President Putin is currently visiting China for the third Belt and Road Forum for International Cooperation (BRF).

Effective cooperation with Russia would ensure grain and energy security, the Chinese leader said, adding that strengthening ties between Moscow and Beijing is a long-term goal.

The project, dubbed the Power of Siberia 2, will bring natural gas from Russia’s Yamal peninsula, which – prior to the Ukraine conflict – used to serve the EU market through several pipelines, including Nord Stream, which was sabotaged in September 2022.

Russian officials are planning to increase pipeline gas supplies to China by 50 billion cubic meters (bcm) annually via Power of Siberia 2, while the existing Power of Siberia pipeline is due to provide 38 bcm per year by 2025.
Eti nchi yenye uchumi mkubwa Calfonia GDP ni kubwa kuliko GDP ya Russia
 
Ufalme upi? Ambao unaweza kuutengeneza chini ya Android, IOS, Window, Pay pal, Visa, Master, iPhone, WhatsApp, Google, Coke{ Cola}, Instagram, Facebook, Chanjo nyingi za mifugo, binadamu na mimea.
Marekani ataendelea kuwa mfalme mpaka miaka 200 ijayo.
Nina miaka 6 sojawahi kunywa hiyo cocacola
 
Back
Top Bottom