UN yaendelea kutofautiana na Israel, yasema ni 'two-state solution'

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Kumefanyika mkutano wa amani leo hii ambapo Israel imeukacha. Mkutano huu chini ya UN umeshirikisha viongozi mbalimbali ktk nchi zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, maofisa kutoka serikali kadhaa za kimagharibi na viongpzi wa Palestin.

Katika mkutano huu Katibu wa UN ameendelea kusiaitiza kuwa sululisho pekee la mgogoro huu ni ' two-stqte solution', suala amabalo serikali ya Israel imeendelea kulipinga kwa musa mrefu.

Hii solution inapendekeza na kutambua uwepo mataofa yote mawili ndani ya mipaka yake yakiwa na mamlaka kamili ikowemo Ulinzi.

Israel imekuwa ikipinga hili suala na inahofia sana Palestina kuwa na mamlaka yake (sovereignty) yqtakayoiruhusu kuunda jeshi lake halali.

More:
A peace summit to de-escalate the conflict between Hamas and Israel has kicked off in Cairo, Egypt. The gathering involves dozens of top regional and Western officials, including the leaders of Qatar, the Palestinian Authority, Jordan, and the UAE, as well as UN Secretary-General Antonio Guterres. Israeli officials are not attending the summit.

Guterres is expected to say that while seeking to end the bloodshed the summit’s participants “cannot lose sight of the only realistic foundation for a true peace and stability: a two-state solution,” according to a UN spokesperson.
 
Watu siku zote wanasema two-state solutions, lakini mbona haohao Palestina wamekuwa wanaikataa? Palestina hawatoacha vita, wanaamini Israel hapaswi kuishi.
 
Siyo kweli.. Fuatilia kidogo mkuu.

Two state solutiin ya UN inaitaka Israel kuachia maeneo iliyoanza kujachukua kwa nguvu kuanzoa 1967, ikiwemo Ukingo wa magharibi .

Israel imekataa hili
 
Israel inatakaje?
 
hilo halitakuja kutokea, kwa israel two state solution ni kuugawanya mji wa Yerusalem jambo ambalo ni kosa la jinai kwa myahudi. pia mikoa ya westbank ambayo zamani iliitwa majina ya watoto wa Yakobo yaani GADI na REUBEN na mtoto moja wa Yusuph yaani MANASE, itakuwa imegawiwa kwa wapalestina. lazima iwe ndani ya Israel, labda wapalestina wawe waisrael ndicho wanachotaka. ila kugawanay marufuku.
 
Watu siku zote wanasema two-state solutions, lakini mbona haohao Palestina wamekuwa wanaikataa? Palestina hawatoacha vita, wanaamini Israel hapaswi kuishi.
Ndio maana Hitla alitaka kuwamaliza, lilikua jambo la maana sana.
 
Siyo kweli.. Fuatilia kidogo mkuu.

Two state solutiin ya UN inaitaka Israel kuachia maeneo iliyoanza kujachukua kwa nguvu kuanzoa 1967, ikiwemo Ukingo wa magharibi .

Israel imekataa hili

1947 un walitoa solution hii,israel waliikubali ila waarabu wakakataa kata kata,hawataki kuishi pamoja na myahudi. Kilichofuata hata ile ardhi ndogo waliyopagwanyishwa sasa wameipoteza imeenda kwa wayahudi.

Ujinga ni mzigo.
IMG_3874.jpg
 
Kumefanyika mkutano wa amani leo hii ambapo Israel imeukacha. Mkutano huu chini ya UN umeshirikisha viongozi mbalimbali ktk nchi zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, maofisa kutoka serikali kadhaa za kimagharibi na viongpzi wa Palestin.

Katika mkutano huu Katibu wa UN ameendelea kusiaitiza kuwa sululisho pekee la mgogoro huu ni ' two-stqte solution', suala amabalo serikali ya Israel imeendelea kulipinga kwa musa mrefu.

Hii solution inapendekeza na kutambua uwepo mataofa yote mawili ndani ya mipaka yake yakiwa na mamlaka kamili ikowemo Ulinzi.

Israel imekuwa ikipinga hili suala na inahofia sana Palestina kuwa na mamlaka yake (sovereignty) yqtakayoiruhusu kuunda jeshi lake halali.

More:
A peace summit to de-escalate the conflict between Hamas and Israel has kicked off in Cairo, Egypt. The gathering involves dozens of top regional and Western officials, including the leaders of Qatar, the Palestinian Authority, Jordan, and the UAE, as well as UN Secretary-General Antonio Guterres. Israeli officials are not attending the summit.

Guterres is expected to say that while seeking to end the bloodshed the summit’s participants “cannot lose sight of the only realistic foundation for a true peace and stability: a two-state solution,” according to a UN spokesperson.
Wapatanishi wakubwa wa huu mzozo hasa Marekani na nchi za ulaya magharibi zote zinaunga mkono hili wazo ila mpaka sasa limekwama sababu ya kuegemea upande mmoja zaidi kila mzozo unapoibuka.

Huwezi kupatanisha watu wawili walio kwenye mzozo kwa wakati huo huo unausaidia upande mmoja ili kuwa na nguvu kuliko hasimu wake.
 
Palestina asaidiwe na waarabu/ israel asaidiwe na wazungu....
Over............
 
Watu siku zote wanasema two-state solutions, lakini mbona haohao Palestina wamekuwa wanaikataa? Palestina hawatoacha vita, wanaamini Israel hapaswi kuishi.
Solution ya huu mgogoro ni very complex, kwa Palestina

Maeneo ambayo UN inataka Palestina ianziswhe Israel imakuwa ikijenga makazi haramu katika na makazi ya Wapalestina huku ikijenga Kuta na vizuizi kuzunguka makazi ya Wapalestina, kwa hiyo hili Mpalestina aende sehemu muhimu za kiuchumi au kwa baadhi ya maeneo muhimu lazima apite kwenye hizo vizuizi.

So ni kama Wapalestina wako jela, hii inafanya jamii ya Wapalestina kulazimika kuhamia sehemu zingine za Israel na kutafuta vitambulisho vya Uraia Israel, so kama Wapalestina hawatapata nchi yao miaka 50 ijayo basi kuna uwezekano kukawa hakuna Wapalestina wa kutosha kudai nchi yao.

Upande wa Gaza, Hamas wao hataki kabisa Israel iwepo pale, hili naona kabisa haliwezekani, so kadi Watakavo kuwa wanarusha Makombora Israel itakuwa inalipiza mara 10 yake na zaidi hadi wakaazi wa pale, wahame wenyewe, ndio maana umeona katika Mgogoro huu Kuna watu wa Gaza wengi wana Uraia pacha, so Israel inataka watoke kabisa pale
 
Back
Top Bottom