Israel yaahirisha zoezi la kuingiza vikosi Gaza yenye mahandaki sababu hali ya hewa si rafiki

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
IDF wameahirisha kwa muda zoezi walilotaka kuanza wikiendi hii la kuingiza vikosi vyake katika mji wa Gaza kwa kile walichodai ni tatizo la hali ya hewa kitokuwa rafiki hasa kwa vikosi vya Anga.

Pia wamesogeza mbele muda wa kuruhusu wapalestina wanaotaka kuelekea sehemu ya kusini baada ya hapo awali kutoa masaa 24 tu.

IDF wanasema zoezi lijalo linaweza kuchukua miezi na wanatagemea kutakuwa na madhara hata kqa upande wao pia kutikana na na jiografia na mfumo wa kiusalama wa Gaza wenye mahandaki mengi.

Chanzo New York Times.

The offensive had been planned for the weekend but was rescheduled due to adverse weather conditions, the newspaper claims
Israel postpones ground operation in Gaza – NYT

Israel has decided to put off the start of its ground operation against Hamas in Gaza due to adverse weather conditions, the New York Times has claimed. The newspaper is also reporting that the incursion will likely come at quite a price for the Israeli military, given its scope as well as the fortifications built by the militants.

In an article on Saturday the media outlet alleged, citing anonymous Israeli officers, that the “invasion was initially planned for the weekend but was delayed by a few days, at least in part because of weather conditions.” These are so far precluding Israeli pilots and drone operators from providing ground forces with air cover, the NYT explained.

It quoted three unnamed Israeli officers as confirming that the imminent operation would involve tens of thousands of service members, including commando units, and tanks supported by warplanes, helicopter gunships, drones and artillery fired from land and sea. The alleged goal is the complete destruction of Hamas’ leadership, which has controlled the enclave since 2007.
 
Hao hakuna kitu,waoga mno na weupe kwa battle za mtu bee
Hali ya hewa ya kivita si rafiki kwa Israel kwa sasa.Upinzani ni mkubwa sana.
Hamas kumbe walichukua mafunzo Syria na Leban.Syria kila siku anapigwa na Israel kama anavyopenda.Kwenye viwanja vya ndege na kambi za jeshi.Ana hasira sana.Akiamua kushuka kutoka milima ya Golan na Hizbolah wakaingia mashamba ya Bekaa hakuna watakachoweza kufanya zaidi ya kukimbia kuelekea US
 
Syria hataki tena vita na Israeli, sasa mpaka Damascus itatekwa

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
IDF wameahirisha kwa muda zoezi walilotaka kuanza wikiendi hii la kuingiza vikosi vyake katika mji wa Gaza kwa kile walichodai ni tatizo la hali ya hewa kitokuwa rafiki hasa kwa vikosi vya Anga.

Pia wamesogeza mbele muda wa kuruhusu wapalestina wanaotaka kuelekea sehemu ya kusini baada ya hapo awali kutoa masaa 24 tu.

IDF wanasema zoezi lijalo linaweza kuchukua miezi na wanatagemea kutakuwa na madhara hata kqa upande wao pia kutikana na na jiografia na mfumo wa kiusalama wa Gaza wenye mahandaki mengi.

Chanzo New York Times.

The offensive had been planned for the weekend but was rescheduled due to adverse weather conditions, the newspaper claims
Israel postpones ground operation in Gaza – NYT

Israel has decided to put off the start of its ground operation against Hamas in Gaza due to adverse weather conditions, the New York Times has claimed. The newspaper is also reporting that the incursion will likely come at quite a price for the Israeli military, given its scope as well as the fortifications built by the militants.

In an article on Saturday the media outlet alleged, citing anonymous Israeli officers, that the “invasion was initially planned for the weekend but was delayed by a few days, at least in part because of weather conditions.” These are so far precluding Israeli pilots and drone operators from providing ground forces with air cover, the NYT explained.

It quoted three unnamed Israeli officers as confirming that the imminent operation would involve tens of thousands of service members, including commando units, and tanks supported by warplanes, helicopter gunships, drones and artillery fired from land and sea. The alleged goal is the complete destruction of Hamas’ leadership, which has controlled the enclave since 2007.
Du! Yaani matayarisho hayo ni kwa mgambo wa Hamas tu. Kumbe Hamas ni dude moja kubwa sana
 
blaza Hamas👇 ahauliza mbona hawaji shida nini😂😅

images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom